DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Hongera Mh waziri Mpya wa mambo ya ndani .
Ila kuhusu ajira za Police ,boresheni msichukue watu ambao wana ufaulu hafifu.
Hii inashusha heshima ya jeshi na kuonekana ni kimbilio la waliofeli.
Kama wanavyofanya uhamiaji kuchukua waliopata daraja la 1-3 na nyie jeshi la police fanyeni hivyo.
Pia na katika umri wekeni mpaka 33. ili hata wenye masters n.k waombe.
Division four watafutiwe sehemu sahihi ila sio majeshini
Asante.