DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Kazi ya Polisi ni kushika kirungu na kuamrishwa atende jinai bila kuuliza. Polisi akiwa mdadisi hatakiwi ndio maana tunaajiri mazezetaHongera Mh waziri Mpya wa mambo ya ndani .
ila kuhusu ajira za Police ,boresheni msichukue watu ambao wana ufaulu hafifu.
hii inashusha heshima ya jeshi na kuonekana ni kimbilio la waliofeli.
kama wanavyofanya uhamiaji kuchukua waliopata daraja la 1-3 na nyie jeshi la police fanyeni hivyo.
pia na katika umri wekeni mpaka 33. ili hata wenye masters n.k waombe.
Division watafutiwe sehemu sahihi ila sio majeshini
Asante.
Wazee wa kujipakulia minya+a.Pia na katika umri wekeni mpaka 33.
sio minyama tunajaribu kuangalia reformWazee wa kujipakulia minya+a.
Ccm hawataki hao watuweledi na watu wenye uwezo kuwa na reasoning ni muhimu zama hizi tulizopo
Ccm hawataki hao watu
Tangu lini serikali FEKI na ujambazi ikapewa pongezi?Hongera Mh waziri Mpya wa mambo ya ndani .
Ila kuhusu ajira za Police ,boresheni msichukue watu ambao wana ufaulu hafifu.
Hii inashusha heshima ya jeshi na kuonekana ni kimbilio la waliofeli.
Kama wanavyofanya uhamiaji kuchukua waliopata daraja la 1-3 na nyie jeshi la police fanyeni hivyo.
Pia na katika umri wekeni mpaka 33. ili hata wenye masters n.k waombe.
Division four watafutiwe sehemu sahihi ila sio majeshini
Asante.
Kama akili zimekurudia,kwa nini usianze na Samia Suluhu Hassan. Hana sifa hata chembe ya kuwa hapo alipo.weledi na watu wenye uwezo kuwa na reasoning ni muhimu zama hizi tulizopo
Well said, rais ambaye ndiye top yeye ni form 4 failure halafu anataka reforms kwenye jeshi la police...tuanzie juu kabisa ili tuwe na uhalali na huko kwingine!Kama akili zimekurudia,kwa nini usianze na Samia Suluhu Hassan. Hana sifa hata chembe ya kuwa hapo alipo.
Kwa nini uangalie polisi wakati ukijuwa vihiyo wamejaa serikalini kila sehemu.
Si ajabu hata wewe ni mmoja wao kwenye nafasi unayohudumia sasa hivi!
Nasema haya kwa kumbukumbu za maandishi yako humu JF.
Mpaka mda huu Taifa lipo kwenye mkwamo mkubwa , ambae hawezi liona hili ni kichaa tu, unamuondoa simba unaleta swala hii ni akili kweli , twende tu, Mungu atajibu Mapema sana ila lazima Taifa kama taifa litashida tuHongera Mh waziri Mpya wa mambo ya ndani .
Ila kuhusu ajira za Police ,boresheni msichukue watu ambao wana ufaulu hafifu.
Hii inashusha heshima ya jeshi na kuonekana ni kimbilio la waliofeli.
Kama wanavyofanya uhamiaji kuchukua waliopata daraja la 1-3 na nyie jeshi la police fanyeni hivyo.
Pia na katika umri wekeni mpaka 33. ili hata wenye masters n.k waombe.
Division four watafutiwe sehemu sahihi ila sio majeshini
Asante.
Wasio waadilifu wameshika mpinisio ccm wote mkuu
Sehemu gani sasa waense wakati hata ualimu miaka hii hawachukui kabisa Division IV?Hongera Mh waziri Mpya wa mambo ya ndani .
Ila kuhusu ajira za Police ,boresheni msichukue watu ambao wana ufaulu hafifu.
Hii inashusha heshima ya jeshi na kuonekana ni kimbilio la waliofeli.
Kama wanavyofanya uhamiaji kuchukua waliopata daraja la 1-3 na nyie jeshi la police fanyeni hivyo.
Pia na katika umri wekeni mpaka 33. ili hata wenye masters n.k waombe.
Division four watafutiwe sehemu sahihi ila sio majeshini
Asante.
ExactlyHongera Mh waziri Mpya wa mambo ya ndani .
Ila kuhusu ajira za Police ,boresheni msichukue watu ambao wana ufaulu hafifu.
Hii inashusha heshima ya jeshi na kuonekana ni kimbilio la waliofeli.
Kama wanavyofanya uhamiaji kuchukua waliopata daraja la 1-3 na nyie jeshi la police fanyeni hivyo.
Pia na katika umri wekeni mpaka 33. ili hata wenye masters n.k waombe.
Division four watafutiwe sehemu sahihi ila sio majeshini
Asante.
Hakuna uwezekano wa ccm kubaki madarakani iwapo polisi watapatikana wanaofikiri kabla ya kutenda. Polisi wenye ufaulu mdogo wamekuwa ndio nguzo kuu ya ccm kuwepo madarakani kwa shuruti hadi leo.sio minyama tunajaribu kuangalia reform
ni kama tulivyolalamika kuhusu walimu kuwa wasiende wenye four tu na sasa ipo hivyo.
Hongera Mh waziri Mpya wa mambo ya ndani .