Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amini nawaambieni wanaccm hawatameguka zamu hii sababu ya kuogopa malipizo ya mwenyekiti.Kuna mlolongo wa matukio yanayotokea nchini hivi sasa, yanayonifanya niweze kutabiri yatakayotokea nchini baada ya uchaguzi mkuu utakaofanyika nchini kwetu mwishoni mwa mwaka huu
Tulimsikia wenyewe Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Magufuli akitamka hadharani bila kificho chochote kuwa kura za maoni za vikao vya CCM vya majimbo mwaka huu si lolote wala chochote mwaka huu, kwani mwenye uwezo wa kuamua ni nani atakuwa mgombea wa ubunge mwaka huu, kwa tiketi ya CCM, atakuwa yeye mwenyewe Mwenyekiti wa CCM Taifa!
Akaendelea kusisitiza kuwa yeye mwenyewe anaweza kumpitisha yule mgombea aliyekuwa wa kumi, kwenye kura za maoni majimboni kwenu, akiwaacha wale wote walioongoza kwa maana ya wa kwanza hadi wa tisa.na wala hatalazimika kutoa sababu zozote!
Hivi ndivyo ilivyo CCM ya Magufuli, katika kipindi hiki, ambapo yeye hazingatii tena Katiba ya Chama chake inasema nini, bali matakwa yake binafsi, ndiyo yanayozingatiwa
Tumeshuhudia Rais Magufuli akifanya uteuzi mpya wa zaidi ya watumishi 33, katika maandalizi ya uchaguzi mkuu mwishoni mwaka huu, wakiwemo watu "wake" wa karibu wakuu wa mikoa ya Dar na Manyara, Paul Makonda na Alexander Mnyeti "akiwapumzisha" akiwaandaa kuwa waheshimiwa wabunge, baadaye mwaka huu!
Hao ni miongoni ya wale ambao piga ua ni lazima atawateua yeye kuwa wagombea ubunge, kwenye majimbo yao, bila kujali matokeo ya kura za maoni za majimbo husika!
Ndipo hapo ninapojiuliza hivi CCM itaendelea kubaki moja baada ya uchaguzi mwishoni wa mwaka huu, licha ya Mwenyekiti kuwa tayari na watu wake katika nafasi za ubunge kwenye majimbo hayo?
Nimekuwa nikijiuliza pia, ni kwanini Mwenyekiti atumie nguvu kubwa kutaka kuwasimika ubunge wa majimbo, wakati yeye anayo nafasi ya Kikatiba ya kuteua wabunge wake yeye mwenyewe, wasiozidi kumi?
Hivi hii hali haitaleta chuki kubwa miongoni ya wagombea wa CCM, watakaokuwa wamekatwa majina yao, licha ya kuwa wameongoza kwenye kura za maoni kwenye majimbo yao?
Tusubiri kuona mtifuano mkali baina ya wale "wateuliwa maalum" wa nafazi za ubunge wa Mwenyekiti na wale ambao watakuwa ndiyo chaguo la wapiga kura majimboni mwao
Hivi unadhani kuwaongoza wanachama huku wakiwa na "donge" mioyoni mwao kuna maslahi kwa chama chao?PTER said:Amini nawaambieni wanaccm hawatameguka zamu hii sababu ya kuogopa malipizo ya mwenyekiti.
Msichokijua ccm imejaa wanachama wengi ambao wako kwa maslahi yao binafsi na siyo wapenzi wa itikadi ya ccm.
Kundi kubwa ni la watu wezi wa Mali za umma, wala rushwa wakubwa kwenye taasisi za umma au wafanyabiashara wenye makandokando yasiyo elezeka.
Wapo wanachama wanaotaka uongozi ccm ili wapate fursa ya kuibia nchi au kupata favour fulani fulani kwenye serikali ya ccm.
Msichokijua ni kwamba CCM imejaa wanawake watupu kwa mwenyekiti wao hawawezi kumfanya chochote na yeye anaweza kuwafanya chochote anachokitaka ikiwemo kuwatesa au kuwafunga ndani wakileta za kuleta.
Lau hali ya kisiasa ingekuwa kama ilivyokuwa 2015 huenda anguko la ccm majimboni lingekuwa kubwa sana.
Nakuuliza halimashuri kuu ya Ccm ni JPM peke yake? Maana unaongea uongo mtupu, maana halmashuri kuu inayopitisha majina ina wajumbe wengi . Na alipozungumzia mfano wa Ndumbaro hakumaanisha kuwa anaamua peke yake.
Ahaaa sio kweli.Ndio, with due respect! Ndio
Chama ni NGO ya MwenyekitiKuna mlolongo wa matukio yanayotokea nchini hivi sasa, yanayonifanya niweze kutabiri yatakayotokea nchini baada ya uchaguzi mkuu utakaofanyika nchini kwetu mwishoni mwa mwaka huu
Tulimsikia wenyewe Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Magufuli akitamka hadharani bila kificho chochote kuwa kura za maoni za vikao vya CCM vya majimbo mwaka huu si lolote wala chochote mwaka huu, kwani mwenye uwezo wa kuamua ni nani atakuwa mgombea wa ubunge mwaka huu, kwa tiketi ya CCM, atakuwa yeye mwenyewe Mwenyekiti wa CCM Taifa!
Akaendelea kusisitiza kuwa yeye mwenyewe anaweza kumpitisha yule mgombea aliyekuwa wa kumi, katika mchakato wa kura za maoni majimboni kwenu, akiwaacha wale wote walioongoza kwa maana ya wa kwanza hadi wa tisa.na wala hatalazimika kutoa sababu zozote!
Hivi ndivyo ilivyo CCM ya Magufuli, katika kipindi hiki, ambapo yeye hazingatii tena Katiba ya Chama chake inasema nini, bali matakwa yake binafsi, ndiyo yanayozingatiwa
Tumeshuhudia Rais Magufuli akifanya uteuzi mpya wa zaidi ya watumishi 33, katika maandalizi ya uchaguzi mkuu mwishoni mwaka huu, wakiwemo watu "wake" wa karibu wakuu wa mikoa ya Dar na Manyara, Paul Makonda na Alexander Mnyeti "akiwapumzisha" akiwaandaa kuwa waheshimiwa wabunge, baadaye mwaka huu!
Hao ni miongoni ya wale ambao piga ua ni lazima atawateua yeye kuwa wagombea ubunge, kwenye majimbo yao, bila kujali matokeo ya kura za maoni za majimbo husika!
Vile vile jambo lingine litakaloleta chuki kubwa na mtifuano ndani ya CCM, ni kwa wale wanachama wapya wa "kuja" kupewa kipaumbele katika nafasi za kugombea, wakati wale wanachama "asilia" wakiendelea kusugua benchi
Ndipo hapo ninapojiuliza hivi CCM itaendelea kubaki moja baada ya uchaguzi mwishoni wa mwaka huu, licha ya Mwenyekiti kuwa tayari na watu wake katika nafasi za ubunge kwenye majimbo hayo?
Nimekuwa nikijiuliza pia, ni kwanini Mwenyekiti atumie nguvu kubwa kutaka kuwasimika ubunge wa majimbo, wakati yeye anayo nafasi ya Kikatiba ya kuteua wabunge wake yeye mwenyewe, wasiozidi kumi?
Hivi hii hali haitaleta chuki kubwa miongoni ya wagombea wa CCM, watakaokuwa wamekatwa majina yao, licha ya kuwa wameongoza kwenye kura za maoni kwenye majimbo yao?
Tusubiri kuona mtifuano mkali baina ya wale "wateuliwa maalum" wa nafazi za ubunge wa Mwenyekiti na wale ambao watakuwa ndiyo chaguo la wapiga kura majimboni mwao
Mpasuko hautatokea kamwe sasa hivi mwenyekiti ndiyo chama chenyewe.Hivi unadhani kuwaongoza wanachama huku wakiwa na "donge" mioyoni mwao kuna maslahi kwa chama chao?
Laa hasha, badala yake hiyo hali ndiyo itakayoleta mpasuko mkubwa ndani ya chama chao
Hakuna namnaHakika chama kimetoka kuwa mali ya wanachama na hivi sasa wamekibinafsisha kwa Jiwe
CCM kipo mfukoni mwa jiwe wacha waburutwe tu manake ni watu wa kuburutwa siku zote.Kuna mlolongo wa matukio yanayotokea nchini hivi sasa, yanayonifanya niweze kutabiri yatakayotokea nchini baada ya uchaguzi mkuu utakaofanyika nchini kwetu mwishoni mwa mwaka huu
Tulimsikia wenyewe Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Magufuli akitamka hadharani bila kificho chochote kuwa kura za maoni za vikao vya CCM vya majimbo mwaka huu si lolote wala chochote mwaka huu, kwani mwenye uwezo wa kuamua ni nani atakuwa mgombea wa ubunge mwaka huu, kwa tiketi ya CCM, atakuwa yeye mwenyewe Mwenyekiti wa CCM Taifa!
Akaendelea kusisitiza kuwa yeye mwenyewe anaweza kumpitisha yule mgombea aliyekuwa wa kumi, katika mchakato wa kura za maoni majimboni kwenu, akiwaacha wale wote walioongoza kwa maana ya wa kwanza hadi wa tisa.na wala hatalazimika kutoa sababu zozote!
Hivi ndivyo ilivyo CCM ya Magufuli, katika kipindi hiki, ambapo yeye hazingatii tena Katiba ya Chama chake inasema nini, bali matakwa yake binafsi, ndiyo yanayozingatiwa
Tumeshuhudia Rais Magufuli akifanya uteuzi mpya wa zaidi ya watumishi 33, katika maandalizi ya uchaguzi mkuu mwishoni mwaka huu, wakiwemo watu "wake" wa karibu wakuu wa mikoa ya Dar na Manyara, Paul Makonda na Alexander Mnyeti "akiwapumzisha" akiwaandaa kuwa waheshimiwa wabunge, baadaye mwaka huu!
Hao ni miongoni ya wale ambao piga ua ni lazima atawateua yeye kuwa wagombea ubunge, kwenye majimbo yao, bila kujali matokeo ya kura za maoni za majimbo husika!
Vile vile jambo lingine litakaloleta chuki kubwa na mtifuano ndani ya CCM, ni kwa wale wanachama wapya wa "kuja" kupewa kipaumbele katika nafasi za kugombea, wakati wale wanachama "asilia" wakiendelea kusugua benchi
Ndipo hapo ninapojiuliza hivi CCM itaendelea kubaki moja baada ya uchaguzi mwishoni wa mwaka huu, licha ya Mwenyekiti kuwa tayari na watu wake katika nafasi za ubunge kwenye majimbo hayo?
Nimekuwa nikijiuliza pia, ni kwanini Mwenyekiti atumie nguvu kubwa kutaka kuwasimika ubunge wa majimbo, wakati yeye anayo nafasi ya Kikatiba ya kuteua wabunge wake yeye mwenyewe, wasiozidi kumi?
Hivi hii hali haitaleta chuki kubwa miongoni ya wagombea wa CCM, watakaokuwa wamekatwa majina yao, licha ya kuwa wameongoza kwenye kura za maoni kwenye majimbo yao?
Tusubiri kuona mtifuano mkali baina ya wale "wateuliwa maalum" wa nafazi za ubunge wa Mwenyekiti na wale ambao watakuwa ndiyo chaguo la wapiga kura majimboni mwao
Twende na Link hii ili tujadili michakato yote majimboni kwa upana zaidi...Kuna mlolongo wa matukio yanayotokea nchini hivi sasa, yanayonifanya niweze kutabiri yatakayotokea nchini baada ya uchaguzi mkuu utakaofanyika nchini kwetu mwishoni mwa mwaka huu
Tulimsikia wenyewe Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Magufuli akitamka hadharani bila kificho chochote kuwa kura za maoni za vikao vya CCM vya majimbo mwaka huu si lolote wala chochote mwaka huu, kwani mwenye uwezo wa kuamua ni nani atakuwa mgombea wa ubunge mwaka huu, kwa tiketi ya CCM, atakuwa yeye mwenyewe Mwenyekiti wa CCM Taifa!
Akaendelea kusisitiza kuwa yeye mwenyewe anaweza kumpitisha yule mgombea aliyekuwa wa kumi, katika mchakato wa kura za maoni majimboni kwenu, akiwaacha wale wote walioongoza kwa maana ya wa kwanza hadi wa tisa.na wala hatalazimika kutoa sababu zozote!
Hivi ndivyo ilivyo CCM ya Magufuli, katika kipindi hiki, ambapo yeye hazingatii tena Katiba ya Chama chake inasema nini, bali matakwa yake binafsi, ndiyo yanayozingatiwa
Tumeshuhudia Rais Magufuli akifanya uteuzi mpya wa zaidi ya watumishi 33, katika maandalizi ya uchaguzi mkuu mwishoni mwaka huu, wakiwemo watu "wake" wa karibu wakuu wa mikoa ya Dar na Manyara, Paul Makonda na Alexander Mnyeti "akiwapumzisha" akiwaandaa kuwa waheshimiwa wabunge, baadaye mwaka huu!
Hao ni miongoni ya wale ambao piga ua ni lazima atawateua yeye kuwa wagombea ubunge, kwenye majimbo yao, bila kujali matokeo ya kura za maoni za majimbo husika!
Vile vile jambo lingine litakaloleta chuki kubwa na mtifuano ndani ya CCM, ni kwa wale wanachama wapya wa "kuja" kupewa kipaumbele katika nafasi za kugombea, wakati wale wanachama "asilia" wakiendelea kusugua benchi
Ndipo hapo ninapojiuliza hivi CCM itaendelea kubaki moja baada ya uchaguzi mwishoni wa mwaka huu, licha ya Mwenyekiti kuwa tayari na watu wake katika nafasi za ubunge kwenye majimbo hayo?
Nimekuwa nikijiuliza pia, ni kwanini Mwenyekiti atumie nguvu kubwa kutaka kuwasimika ubunge wa majimbo, wakati yeye anayo nafasi ya Kikatiba ya kuteua wabunge wake yeye mwenyewe, wasiozidi kumi?
Hivi hii hali haitaleta chuki kubwa miongoni ya wagombea wa CCM, watakaokuwa wamekatwa majina yao, licha ya kuwa wameongoza kwenye kura za maoni kwenye majimbo yao?
Tusubiri kuona mtifuano mkali baina ya wale "wateuliwa maalum" wa nafazi za ubunge wa Mwenyekiti na wale ambao watakuwa ndiyo chaguo la wapiga kura majimboni mwao
😉😉Nani anaweza kupinga atakacho jiwe? Wewe mwenyewe hapo haya unayosapoti hapa huyaamini ni Kwa vile tu unalipwa ili kusifia lolote.