Uchaguzi 2020 Ni muujiza pekee utakaoifanya CCM wabaki wamoja baada ya uchaguzi utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu

Safari hii mambo yamebadilika, wagombea watakatwa na jpm kwanza, kisha majina matatu yatarudishwa kupigiwa kura. Naona jpm ananoa kisu ili akate majina now
Hawataamini macho yao, namna watakavyokatwa majina yao
 
Amini nawaambieni wanaccm hawatameguka zamu hii sababu ya kuogopa malipizo ya mwenyekiti.

Msichokijua ccm imejaa wanachama wengi ambao wako kwa maslahi yao binafsi na siyo wapenzi wa itikadi ya ccm.

Kundi kubwa ni la watu wezi wa Mali za umma, wala rushwa wakubwa kwenye taasisi za umma au wafanyabiashara wenye makandokando yasiyo elezeka.

Wapo wanachama wanaotaka uongozi ccm ili wapate fursa ya kuibia nchi au kupata favour fulani fulani kwenye serikali ya ccm.


Msichokijua ni kwamba CCM imejaa wanawake watupu kwa mwenyekiti wao hawawezi kumfanya chochote na yeye anaweza kuwafanya chochote anachokitaka ikiwemo kuwatesa au kuwafunga ndani wakileta za kuleta.

Lau hali ya kisiasa ingekuwa kama ilivyokuwa 2015 huenda anguko la ccm majimboni lingekuwa kubwa sana.
 
Hivi unadhani kuwaongoza wanachama huku wakiwa na "donge" mioyoni mwao kuna maslahi kwa chama chao?

Laa hasha, badala yake hiyo hali ndiyo itakayoleta mpasuko mkubwa ndani ya chama chao
 
Ndio, with due respect! Ndio
Nakuuliza halimashuri kuu ya Ccm ni JPM peke yake? Maana unaongea uongo mtupu, maana halmashuri kuu inayopitisha majina ina wajumbe wengi . Na alipozungumzia mfano wa Ndumbaro hakumaanisha kuwa anaamua peke yake.
 
Ngoma ikivuma sana ujue inakaribia kupasuka
Hakika ngoma hii ya "mdundiko" wa CCM ibakaribia mno kupaauka.........

Naipa muda hadi mwishoni kwa mwaka huu, itakuwa inaelekea kwenye "maziala"
 
Chama ni NGO ya Mwenyekiti
 
Hivi unadhani kuwaongoza wanachama huku wakiwa na "donge" mioyoni mwao kuna maslahi kwa chama chao?

Laa hasha, badala yake hiyo hali ndiyo itakayoleta mpasuko mkubwa ndani ya chama chao
Mpasuko hautatokea kamwe sasa hivi mwenyekiti ndiyo chama chenyewe.

Worse enough ccm wamehakikishiwa kupata ushindi hata kwa kuua wapinzani wao.
 
CCM kipo mfukoni mwa jiwe wacha waburutwe tu manake ni watu wa kuburutwa siku zote.
 
Twende na Link hii ili tujadili michakato yote majimboni kwa upana zaidi...
Karibuni.
🇹🇿MCHAKATO⚖️MAJIMBONI 2020🇹🇿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…