Ni Muungano wa Serikali mbili, it's Mwalimu Legacy...!

Nadhani haujanisoma vyema - kama umekuwa unanifuatilia, nimekuwa nikipigania nia ya muungano kwa mujibu wa mkataba wa muungano wa 1964; Kwani wewe unapigania nia hiyo kwa mujibu wa nini, Katiba ya JMT (1977)? kama nipo sahihi, basi hapo ndipo tunapopishana kwani Katiba ya JMT imeinyakua nia ya mkataba wa muungano (1964) kupitia mfumo ambao kamwe hauwezi kufanya kazi; kwa maana hii, kwetu sisi, hatutetei mfumo bali tunaujadili mfumo kwamba haufai hivyo urekebishwe vinginevyo suala la muungano wont work by ignoring suala la mfumo;

Nimekuelewa vizuri sana Mchambuzi. Kuna kitu wewe pia unaki-skip. Elimu ya watu wetu kujua umuhimu wa Muungano. Nadhani waliotengeza huu muungano walitumia kigezo hiki pia kufanya maamuzi waliyoyafanya--rightly or wrongly so. Katika Project Management kuna kitu kinaitwa Killer Assumption. Yaani unapanga mpango, halafu kunakuwa na kitu fulani cha kuwa considered; kwamba kama kipo mradi unakufa.

Wewe Mchambuzi una project ya Muungano kuwepo baada ya Katiba ya Tanganyika kuhuishwa. The killer assumption ni kwamba watu watakaoamua huo muungano kuwepo hawana elimu ya kutosha kujua kuwa Internationalism ni factor muhimu katika kuendeleza maeneo; au niseme nchi zinazoweza kujiendesha kwa umoja. Kwa maana hiyo ukosefu wa elimu ya kutosha miongoni mwa watakaoamua kuwepo ama kutokuwepo kwa muungano ni killer factor ya muungano. Serikali ya Tanganyika ikizuka leo Muungano hakuna!

That leaves us with only one option tunaojua faida za internationalism: na hiyo option ni kuleta serikali moja by hooks and crooks! hii ndo inatakiwa kuwa option ya ccm
 
Sasa nimekuelewa na kuhusiana kuhusiana na option ya serikali moja, lakini unaposema "we are remained with one option", "we" ni nani, CCM?

Pia how do you justify kuimarisha muungano wa serikali moja wa dola mbili huru ambazo zote zina masuala ambayo wangependa wayafanye ya muungano na mengine yabakie yao kwao binafsi?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ni federalism ninayoingelea hapo Mkuu. Kunakuwapo na dola moja tu, lakini peculiarities zinaweza kuruhusu mambo fulani yakatendeka tofauti tofauti hapa na pale--lakini ndani ya dola moja; hakuna vidola kila kona.

Now, pengine ninakuwa biased na mfumo wa marekani kwa kuwa nimekaa kule. Sikuona shida kuona Michigan wana mfumo tofauti wa Elimu na Florida. Texas wana mfumo wa ulinzi unaotumia Sheriffs tofauti na say Hawaii. Yaani kunakuwa na mambo fulani-fulani yanatofautiana lakini ni ndani ya dola moja. Kila Jimbo linakuwa na viuhuru fulanifulani tofauti na jingine. And it works fine! Ukiangalia vizuri utadhani Nyerere alikuwa anaelekeza tuende huko.

Kwa hiyo ninachoongelea hapa kwa upande fulani ni uhuru limited ndani ya majimbo yaliyopo katika dola moja. Zanzibar inakuwa Jimbo tu katika federal state inayoitwa Tanzania. Uelewa uliopo sasa (na hapo sasa linakuja lile tatizo la elimu), wapo watakoliita hili Zanzibar inamezwa. Eee wacha imezwe. Mbona Shinyanga, Mwanza na Tabora vilishamezwa siku nyingi? Mbona Mbeya na Iringa vilimezwa! Kwa nini Zanzibar isimezwe! sisi si walewale tu!? Where is the problem.
 
Ningependa nikuulize maswali makuu matatu kuhusiana na hoja zako hapo juu:

(1) Hivi unajua zanzibar walipata uhuru wao mitaani kwa kumwaga damu, na sio lancaster hall kama sisi kwa suti, tai na kahawa? Unaimezaje dola ya namna hii kwa kuifanya kama vile ni historia yake ni kama ya Mbeya au Tabora?

(2) Hivi unajua kwamba Zanzibar huko nyuma iilikuwa ni himaya yenye uchumi mkubwa kuliko Tanganyika na na ilikuwa ina control uchumi mpaka Dar-es-salaam na maeneo mengine?Unageuzaje eneo hili kuwa ni kasehemu tu kama Mtwara, na mbaya zaidi, kupora maamuzi yake kisiasa, kiuchumi na kijamii kutoka mji mkongwe na kuhamishia, sio DSM ambapo kidogo kuna uhusiano na zanzibar ya kale, bali Dodoma?

(3) Mwisho, haupo firm kujadili aina ya muungano - una move back and forth on provincial, unitary and federation systems - je kwa mtazamo wako, muungano wetu ulidhamiriwa kuwa wa namna gani as of April 1964?

Nitangulie na gumu zaidi na kumaliza na mepesi.

(1) Sijamove back and forth kwenye pendekezo binafsi la mfumo wa Muungano unaotufaa usoni. Nimetaja Federalism ambayo inaruhusu majimbo kuendesha mambo yao tofauti-tofauti kutegemeana na mazingira ya jimbo hilo, nikataja elimu au hata ulinzi wa jimbo. Lakini haya mawili ni baadhi tu ambayo naweza kuyaona. Hili la kuruhusu serekali tatu zenye mamlaka kamili halitazaa federalism ninayoiongelea mimi kwa sababu tu ya neno "mamlaka kamili." Ukiondoa neno hilo "mamkala kamili" unasogea kidogo kwenye hoja yangu, hata kama unairudisha Tanganyika. Zanzibar wanataka Mamlaka kamili. Hakuna federalism ninayoizungumzia mimi katika Zanzibar yenye mamlaka kamili. Texas hawana mamlaka kamili ndani ya USA. Hawaii hawana Mamlaka Kamili ndani ya USA. Kano hawana mamlala kamili ndani ya Nigeria. Yale majimbo ya Ujerumani hayana Mamlaka kamili ndani ya West Germany. Hiyo ndiyo maana yangu.

Sasa nihamie kwenye maswali yako rahisi:

(2) Unapotumia histori ya Zanzibar kumiliki Dar es Salaam au hata Kilwa na Mombasa zamani kama kigezo cha kuipatia mamlaka kamili Zanzibar unataka nishawishike kwamba kwa kuwa Israel zamani ilikuwa mali ya Ottoman Empire kwa hiyo uturuki isijiunge EU. This is lopsided argument. Unapotumia mtindo ambao Zanzibar ilitumia kujikwamua kutoka utawala wa Sultani kuwa kigezo cha kuruhusu mamlaka kamili Zanzibar unawanyima wazanzabari haki ya mabadiliko kutumia facts zilizopo sasa, facts ambazo kama vile ongezeko la watu kule zanzibar ambao katika nchi moja wanapata uhuru wa kuhamia hata Mbozi wakitaka.

Hoja zako zinaleta dhana kwamba jamii ni static, si dynamic. Mazingira mengi ya sasa katika nchi zetu yanaruhusu kutengeza serikali moja, japokuwa nikiri kwamba kwa upande fulani mi naona hamu ya kutengana inaletwa pia na dhiki inayoonekana katika mfumo uliopo, pamoja na watu kupoteza tumaini la uwepo wa uongozi unaoweza kuleta neema. Tuungane na kuweka uongozi utaoleta maendeleo yaonekane kila mahali na hakuna atayetamani kujianzishia mamlaka kamili ili kujitosheleza bora kuliko hali iliyopo sasa.
 
Mwalimu Nyerere alikuwa na dhamira ya dhati ya kupeleka nchi yetu katika mema, lakini alikuwa na mapungufu yake makuu matatu katika muktadha wa uongozi wake kwa taifa letu, moja ya madhaifu ya mwalimu ni kuhimiza suala la serikali mbili ndani ya muungano wa mataifa huru mawili; This vision was flawed and will remain so....
heshima kwako mkuu.
 
Hilo ndilo umeliona ni hoja ya kuchangia hapa. Hivi nyie chadema bila kutukana mnajihisi hamtaweza kulipwa posho zenu.

Sio kila anayeikosoa serikali na chama chako ni CHADEMA, Acha kukariri kijana.
Ila cha msingi hapa sio tusi uliloliona bali namna ambavyo mnataka kumtumia Baba wa Taifa, MWL NYERERE kufanikisha malengo yenu ya kisiasa......HUU NI UPUUZI.
Mbona misingi na maadili aliyoiweka kwa Taifa hili yote mmeitelekeza? Yako wapi maadili ya ndani ya chama chako aliyoyahimiza na kuyasimamia? Uko wapi ujasili wenu kwenye kukemea maouvu, rushwa , udini ukabila na ubaguzi?
Laiti kama mmngelikuwa mnamuenzi Mwl Nyerere kwa vitendo msingethubutu hata kidogo kumpa nafasi KIKWETE KUIONGOZA NCHI HII, MSINGEMUACHA YULE TAJIRI WA MONDULI KUZUNGUKA KWENYE NYUMBA ZA IBADA NA KUGAWA PESA HUKU MKIJUA WAZI KUWA ANAUTAKA UKUU WA TAIFA HILI........

NYNYI NI WANAFIKI WAKUBWA
 
Discussion hii Ina hoja za maana na za msingi, tuendelee nayo.
 
Back
Top Bottom