Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,532
Mkuu kweli,demu akikupenda mbona kila saa atakuwa hewani tu,lazima akutafute halafu hata usipopiga hana tatizo ye anaona kama wajibu wake
ndiyo dawa yao...halafu akianza kukutafuta usumbufu kibaoHata mm nilikuwa na gumegume fulani hvi,nalo kupiga simu ilikuwa ishu kwake kisa sina vocha,kidume nikajipinda daily full kutuma ma vocha lakini wapi!!nikiamua kupiga simu night kali,kama 5 au 6 fulan hvi....full kukutana ma-call waiting baadae nikahamua kumpotezea.Kwa sasa kwasababu anajua naelekeo kupenya lenyewe linanitafuta lakini kidume sina habari .
kwani hata akinipigia sana ina mana siwezi kumfeel anayenipenda na anayezingua?Sio mademu wote wakikupigia kila saa ni kwamba wanapenda sana.
BTW: Guys stop complaining and be real men.
Nina dem wangu (shori) ambae yuko mbali nami kijiografia na mahusiano yetu yanaendeshwa sana kwa sim, sasa inafikia kipindi inapita siku bila kunipigia wala sms, nikimuuliza kwanini hajapiga anadai ni mishemishe 2 za hom zimemuweka bize, na mimi siku nikiamua kuuchuna ili nione inakuaje au atajisikiaje, anamaind kinoma..... so huku kutegeana kupiga sim ni kuzoeana, kawaida tu au kuna mengine kati yetu?
Fanyia kazi ushauri huu kuna ukweli ndani yake madem ni wavivu sana kuwasiliana na watu wasiowapenda,kuna mtu anamega hapo na nye anayependwa anacheza na akili yako huyo potezea mapema 2huyo demu inaonekana we unampenda kuliko anavyokupenda na ndo maana hakupigii sim mpaka umpigie demu akipenda utamchoka kwa kupigia sim na kukutumia sms nakushauri achana nae kwa sababu kuna mtu anaempigia na kumtumia sms na ndo maana anakosa muda wa kuchat na wewe kama unabisha fanya upelelezi utapata ukweli yameshanitokea na ndo maana nakushauri achana nae.