Ni Mvivu sana kupiga sim ila na mimi nikileta uvivu analalamika

Ni Mvivu sana kupiga sim ila na mimi nikileta uvivu analalamika

Mkuu kweli,demu akikupenda mbona kila saa atakuwa hewani tu,lazima akutafute halafu hata usipopiga hana tatizo ye anaona kama wajibu wake

Sio mademu wote wakikupigia kila saa ni kwamba wanapenda sana.

BTW: Guys stop complaining and be real men.
 
Hata mm nilikuwa na gumegume fulani hvi,nalo kupiga simu ilikuwa ishu kwake kisa sina vocha,kidume nikajipinda daily full kutuma ma vocha lakini wapi!!nikiamua kupiga simu night kali,kama 5 au 6 fulan hvi....full kukutana ma-call waiting baadae nikahamua kumpotezea.Kwa sasa kwasababu anajua naelekeo kupenya lenyewe linanitafuta lakini kidume sina habari .
ndiyo dawa yao...halafu akianza kukutafuta usumbufu kibao
 
Sio mademu wote wakikupigia kila saa ni kwamba wanapenda sana.

BTW: Guys stop complaining and be real men.
kwani hata akinipigia sana ina mana siwezi kumfeel anayenipenda na anayezingua?
 
nyie wanaume acheni kulalama kwetu sisi akina dada ling'ong'o siyo ishu ..ishu ubwabwa kambale bwana lol mnakuwa kama hamjui bwana badilikeni weka vumba pata penzi ..weka vocha kula please call me na recharge me kibao shika pembe mkia nini halafu ...wenz... wanakamua na kunywa ze milk sisi ndo sisi we run the world
 
Sasa! jana nimemlia mikausho mikali, baadae xana katuma sms nikaipotezea, then akapiga na kuanza kuuliza y nipo kimya nkamuuliza ulijisikiaje nlivokua kimya mda wote huo? akadai amejisikia vbaya... Sasa cjui nfanyaje coz napenda xana manzi wangu anichek kila time ikibidi ili hata nisiweze kumsahausahau na kumsaliti NA Nifeel niko nae karibu. Cjui atabadilika vp! cjui nimpotezee labda napoteza time!? au nimpe mda nione itakuaje! SO MUCH CONFUSED!
 
Hapo hamna tatizo lolote; ni mazoea tu.

Ukiwa na mwenza ukamzoesha kitu fulani basi with time anaona ni haki yake kukidai. Ni kawaida kabisa.
Nina dem wangu (shori) ambae yuko mbali nami kijiografia na mahusiano yetu yanaendeshwa sana kwa sim, sasa inafikia kipindi inapita siku bila kunipigia wala sms, nikimuuliza kwanini hajapiga anadai ni mishemishe 2 za hom zimemuweka bize, na mimi siku nikiamua kuuchuna ili nione inakuaje au atajisikiaje, anamaind kinoma..... so huku kutegeana kupiga sim ni kuzoeana, kawaida tu au kuna mengine kati yetu?
 
huyo demu inaonekana we unampenda kuliko anavyokupenda na ndo maana hakupigii sim mpaka umpigie demu akipenda utamchoka kwa kupigia sim na kukutumia sms nakushauri achana nae kwa sababu kuna mtu anaempigia na kumtumia sms na ndo maana anakosa muda wa kuchat na wewe kama unabisha fanya upelelezi utapata ukweli yameshanitokea na ndo maana nakushauri achana nae.
Fanyia kazi ushauri huu kuna ukweli ndani yake madem ni wavivu sana kuwasiliana na watu wasiowapenda,kuna mtu anamega hapo na nye anayependwa anacheza na akili yako huyo potezea mapema 2
 
Yan mademu wana ishu za ajabu kweli,me wangu nlimchunia 4 a wk,cku alvontafuta,akanambia we btr break as anahc me simpendi ndo mana simpigii simu..ikabidi nianze kubembeleza tena.
 
Ingekuwa ukimchunia na yeye anaendelea kuuchuna ningesema ni penzi la upande mmoja ila kwa hili, mhhhh ....
Labda inawezekana ni ka tabia tu ka huyo mwenzi embu jaribu kujipa muda iko siku utapata ukweli!
 
Nina dem wangu (shori) ambae yuko mbali nami kijiografia na mahusiano yetu yanaendeshwa sana kwa sim, sasa inafikia kipindi inapita siku bila kunipigia wala sms, nikimuuliza kwanini hajapiga anadai ni mishemishe 2 za hom zimemuweka bize, na mimi siku nikiamua kuuchuna ili nione inakuaje au atajisikiaje, anamaind kinoma..... so huku kutegeana kupiga sim ni kuzoeana, kawaida tu au kuna mengine kati yetu?

Mapenzi ni kama mmea mdogo dhaifu ambao ni lazima uuangalie mara kwa mara. Msiache umbali kuwa kizuizi cha mapenzi yenu. Ongea na mpenzi wako kuendeleza uhusiani kwa namna ya kipekee,kwani mawasiliano ndio msingi wa mahusiano.
 
Back
Top Bottom