Ni mwaka gani ulikuja Dar es Salaam?

Ni mwaka gani ulikuja Dar es Salaam?

Kesho itakuwa mara ya 1 na Mimi nishangae magorofa na warembo😅

Nasubiri gari/lift ya gari ya ng'ombe Usiku huu

Hakika nitafurahi sana,mwaka mpya nitasheherekea daslamuu
Karibu sana mjini.
 
Magufuli anapiga kampeni kwa mara ya kwanza.
 
Back
Top Bottom