Ni mwaka sasa tangu ujenzi uanze, sijaona kilichofanyika Bwawa la Rufiji

Ni mwaka sasa tangu ujenzi uanze, sijaona kilichofanyika Bwawa la Rufiji

Google ili upate kujua bwawa la umeme huwa linapitia hatua ngapi mpaka kukamilika. Usidhani kutengeneza bwawa la umeme ni sawa na kichimba kaburi au bwawa la kunyweshea mifugo.

Ukiona mradi unatumia 6 trilioni na unafanyika ndani ya miaka mitatu ili ukamilike ujue huo ni mradi mkubwa (mega project) kwa nchi zetu zinazoendelea na hivyo huwa kuna hatua mbalimbali zinafanyika za kitaalamu hadi mradi kama huyo kukamilika.

TUSUBIRI WAJUVI WA HAYA MAMBO WAJE WAFUNGUKE ZAIDI.
 
Google ili upate kujua bwawa la umeme huwa linapitia hatua ngapi mpaka kukamilika. Usidhani kutengeneza bwawa la umeme ni sawa na kichimba kaburi au bwawa la kunyweshea mifugo. Ukiona mradi unatumia 6 trilion na unafanyika ndani ya miaka mitatu ili ukamilike ujue huo ni mradi mkubwa (mega project) kwa nchi zetu zinazoendelea na hivyo huwa kuna hatua mbalimbali zinafanyika za kitaalamu hadi mradi kama huyo kukamilika.

TUSUBIRI WAJUVI WA HAYA MAMBO WAJE WAFUNGUKE ZAIDI.
Sasa mbona hatuoneshwi hata vibarua na mabulldozer yakiwa kazini walau hata tupate matumaini kama wanavyofanya SGR, yaani yamebaki maneno tu kwamba kuna Rufijiiii kuna Rufijiii, majukwa yote linatajwa hilo bwawa, wakati hata kipande cha kokoto au nondo hatuoneshwi site..., kuna nini?
 
We jamaa unaota, yaani mwaka tu uone sentimita 50!!! Mobilization - maandilizi tu yenyewe yanachukua miezi 6, itakuwa kuinua tuta? Tambua pia kuna kuhamisha mto ili bwawa lijengwe mahali mto ulipo kwa sasa
 
Mbona hatuoni hata kipande cha kokoto hapo site? Hatuoni hata hilo zoezi la kuhamisha mto, wanaficha nini? Mbona SGR hadi kufungwa kwa nati za reli wanaonyesha tena TBC1, nati tu..., tena kila hatua ya ujenzi inafanyiwa uzinduzi na wabunge na mawaziri wanazindua.., Rufiji kuna siri gani huko??!!
 
Sasa mbona hatuoneshwi hata vibarua na mabulldozer yakiwa kazini walau hata tupate matumaini kama wanavyofanya SGR, yaani yamebaki maneno tu kwamba kuna Rufijiiii kuna Rufijiii, majukwa yote linatajwa hilo bwawa, wakati hata kipande cha kokoto au nondo hatuoneshwi site..., kuna nini?
Mkuu nimekujibu kulingana na alivyopresent hii thread yako. Kwako wewe ni kama vile una uhakika kwamba hakuna chochote kinachoendelea.

Huja-demand mamlaka zinazohusika (Tanesco na wizara ya nishati) kutoa progress reports za mradi kama inavyofanyika kwenye mradi wa SGR. Wewe ni kama unaponda tu kwamba so far hakuna kilichofanyika.
 
Hata Mwendokasi walisema hivyo hivyo kwamba hawaoni, Ubungo wakasema hivyo hawaoni kitu, SGR pia hawaoni kitu, atcl wakaponda pangaboy, nilichogundua Wachaga wwanajifanya kuponda lakini kumbe ndo wanaosubiri kwa hamu maendeleo yanayofanyika, TRC kwenda Moshi imejaa mpaka hakuna pa kushika lkn kutwa dharau na kuponda.
 
Mkuu nimejibu kulingana na mleta mada alivyopresent hii thread yake. Kwake yeye ni kama vile ana uhakika kwamba hakuna chochote kinachoendelea. Hajademand mamlaka zinazohusika (Tanesco na wizazara ya nishati) kutoa progress reports za mradi kama inavyofanyika kwenye mradi wa SGR. Yeye ni kama anaponda tu kwamba so far hakuna kilichofanyika.
Mtoa mada yupi huyo?
 
Huyo unayemjibu si ndiye mleta uzi?
Mkuu nimejibu kulingana na mleta mada alivyopresent hii thread yake. Kwake yeye ni kama vile ana uhakika kwamba hakuna chochote kinachoendelea. Hajademand mamlaka zinazohusika (Tanesco na wizara ya nishati) kutoa progress reports za mradi kama inavyofanyika kwenye mradi wa SGR. Yeye ni kama anaponda tu kwamba so far hakuna kilichofanyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hatuoni hata kipande cha kokoto hapo site? Hatuoni hata hilo zoezi la kuhamisha mto, wanaficha nini? Mbona SGR hadi kufungwa kwa nati za reli wanaonyesha tena TBC1, nati tu..., tena kila hatua ya ujenzi inafanyiwa uzinduzi na wabunge na mawaziri wanazindua.., Rufiji kuna siri gani huko??!!
Unaposema hamuoni, ni wewe na nani?

Halafu umetafuta wapi au sehem ukakosa au mkakosa?

Hebu tuanzie hapo kwanza.
 
Kumbe hata ww hujui
Google ili upate kujua bwawa la umeme huwa linapitia hatua ngapi mpaka kukamilika. Usidhani kutengeneza bwawa la umeme ni sawa na kichimba kaburi au bwawa la kunyweshea mifugo. Ukiona mradi unatumia 6 trilion na unafanyika ndani ya miaka mitatu ili ukamilike ujue huo ni mradi mkubwa (mega project) kwa nchi zetu zinazoendelea na hivyo huwa kuna hatua mbalimbali zinafanyika za kitaalamu hadi mradi kama huyo kukamilika.

TUSUBIRI WAJUVI WA HAYA MAMBO WAJE WAFUNGUKE ZAIDI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bipi Ofisi ya makai makuu ya Chadema hakuna chochote Cha ujenzi wa makao makuu kinachoendea toka Chadema ianzishwe Hilo unalisemeaje? Nyani haoni kundule
 
Back
Top Bottom