Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hata hiyo SGR yenyewe hamuachi kubeza!Sasa mbona hatuoneshwi hata vibarua na mabulldozer yakiwa kazini walau hata tupate matumaini kama wanavyofanya SGR, yaani yamebaki maneno tu kwamba kuna Rufijiiii kuna Rufijiii, majukwa yote linatajwa hilo bwawa, wakati hata kipande cha kokoto au nondo hatuoneshwi site..., kuna nini?
Nasikia kuna trilioni kadhaa zimeshatumbukizwa huko, nilitegemea by now kuona walau bwawa limeinuka angalau hata sentimita 50, lakini wapi!
Kuna anayefahamu kinachokwamisha?
Itapendeza ikiwa utachukua hilo jukumu kama priority kwako, wao nahisi watakuwa na vipaombele vyao zaidi ya hicho unachodai wewe. Tatizo unataka wawaze sawa na kichwa chakoNaona ni video ya robo mwaka uliopita, wajitahidi kutoa updates walau kila wiki
Hamuoneshwi wewe na nani? kama ni wewe na mkeo funga safari nenda kajionee kwa macho unless otherwise uwe umeajiri mjakazi wa kupiga picha na kukutumia uone.Sasa mbona hatuoneshwi hata vibarua na mabulldozer yakiwa kazini walau hata tupate matumaini kama wanavyofanya SGR, yaani yamebaki maneno tu kwamba kuna Rufijiiii kuna Rufijiii, majukwa yote linatajwa hilo bwawa, wakati hata kipande cha kokoto au nondo hatuoneshwi site..., kuna nini?
Mtihani huu tusubiri mvua aje ndio tukutane kijiwe cha kahawa.We jamaa unaota, yaani mwaka tu uone sentimita 50!!! Mobilization - maandilizi tu yenyewe yanachukua miezi 6, itakuwa kuinua tuta? Tambua pia kuna kuhamisha mto ili bwawa lijengwe mahali mto ulipo kwa sasa
Project kubwa kama hizi nasikia ni siri hata kuna mdau alisha andika huku huruhusiwi hata kufika huko na hata gps code hupatiMimi ni kati ya wanaofuatilia haya mambo kwa karibu kupitia vyombo vya habari kwa sababu napenda sana Infrastructures, Kuna wana wanafanyia kazi maeneo yote ya miradi mikubwa hivyo napata updates.
Tusubiri tusiwe na haraka, Projects Construction ni Engineering work, time is everything in Engineering.
Subira ndio msingi wa mafanikio. Tusimalize maneno na kuanza kuponda kwani kutawala sio kama kuwa Monitor class C.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemjibu vyema kabisa.Natamani nikueleze kwa urefu jinsi hii kazi ilivyo ngumi ila nipo bussy.
Kwanza nakushauri siku moja Nenda hata tour kutembelea kituo kimoja cha uzalishaji wa umeme wa majii...
Utajionea mengi sanaaaaa
Utashangaa sanaaaa
hutaaamini kuna vitu km vinafanyika hapa bongo..
Nakushauri nenda tuu Pangani New HEP.....
Hii ilijengwa na Wa norway,dermak na finland mwaka 1991- 1995,
Imagine kituo kidogo km kile kimejengwa kwa miaka mitano tena kwa ushirikiano wa nchi zilizoendelea zaidi ya tatu....
Kaka unapoona yale maji yamesimama pale juu
View attachment 1308141
Aisee cheka tuuu ila kuna shughuli pevu sana inaendelea huko chini..
View attachment 1308143
Yale maji unayoona yanatiririka
View attachment 1308147
Wala usiumize kichwa, wala hayahitajiki na hayana kazi...
Maji yenyewe yanayohitajika kukupa wewe umeme hutoyaonaaa yanapitishwa chini chini
View attachment 1308162
Yakifika huko ndio kazi yake sasa ya kuzungusha
View attachment 1308168
Turbines(aisee hapa kuna sayansi ndefu siwezi weka).
Generator na transformer zitafanya kazi ya kuzalisha, ku control na kuongeza nguvu ya umeme
View attachment 1308173
Kumbuka huko underground pia ndio kuna makazi ya watu na ofisi za uendeshaji na ku kontrol mitambo, magari vyote vipo humoo
View attachment 1308178
Hivi vyote inabidi vitengenezewe njia yao kubwa sanaa
View attachment 1308181View attachment 1308183
View attachment 1308184View attachment 1308185View attachment 1308187
Matokeo yake ndio haya
View attachment 1308191
Na ukifika ndani ndio hivi sasa
View attachment 1308195
Kwaio ndugu unapoona nje kuna kimya
Jua wenyewe wapo ndanii
Mwishooo
Mtu unaweza kumjibu mwenzako jibu kwa hoja sio panic na vijembee...
Kama hujasoma physics tumia hata geograph au macho kuelewa hiki
Asante sanaaaNatamani nikueleze kwa urefu jinsi hii kazi ilivyo ngumi ila nipo bussy.

Hata Mwendokasi walisema hivyo hivyo kwamba hawaoni, Ubungo wakasema hivyo hawaoni kitu, SGR pia hawaoni kitu, atcl wakaponda pangaboy, nilichogundua Wachaga wwanajifanya kuponda lakini kumbe ndo wanaosubiri kwa hamu maendeleo yanayofanyika, TRC kwenda Moshi imejaa mpaka hakuna pa kushika lkn kutwa dharau na kuponda.
Ni vizuri umeweka kwa faida ya wengi, ila i hope hukudhani kwamba sijui haya..Natamani nikueleze kwa urefu jinsi hii kazi ilivyo ngumi ila nipo bussy.
Kwanza nakushauri siku moja Nenda hata tour kutembelea kituo kimoja cha uzalishaji wa umeme wa majii...
Utajionea mengi sanaaaaa
Utashangaa sanaaaa
hutaaamini kuna vitu km vinafanyika hapa bongo..
Nakushauri nenda tuu Pangani New HEP.....
Hii ilijengwa na Wa norway,dermak na finland mwaka 1991- 1995,
Imagine kituo kidogo km kile kimejengwa kwa miaka mitano tena kwa ushirikiano wa nchi zilizoendelea zaidi ya tatu....
Kaka unapoona yale maji yamesimama pale juu
View attachment 1308141
Aisee cheka tuuu ila kuna shughuli pevu sana inaendelea huko chini..
View attachment 1308143
Yale maji unayoona yanatiririka
View attachment 1308147
Wala usiumize kichwa, wala hayahitajiki na hayana kazi...
Maji yenyewe yanayohitajika kukupa wewe umeme hutoyaonaaa yanapitishwa chini chini
View attachment 1308162
Yakifika huko ndio kazi yake sasa ya kuzungusha
View attachment 1308168
Turbines(aisee hapa kuna sayansi ndefu siwezi weka).
Generator na transformer zitafanya kazi ya kuzalisha, ku control na kuongeza nguvu ya umeme
View attachment 1308173
Kumbuka huko underground pia ndio kuna makazi ya watu na ofisi za uendeshaji na ku kontrol mitambo, magari vyote vipo humoo
View attachment 1308178
Hivi vyote inabidi vitengenezewe njia yao kubwa sanaa
View attachment 1308181View attachment 1308183
View attachment 1308184View attachment 1308185View attachment 1308187
Matokeo yake ndio haya
View attachment 1308191
Na ukifika ndani ndio hivi sasa
View attachment 1308195
Kwaio ndugu unapoona nje kuna kimya
Jua wenyewe wapo ndanii
Mwishooo
Mtu unaweza kumjibu mwenzako jibu kwa hoja sio panic na vijembee...
Kama hujasoma physics tumia hata geograph au macho kuelewa hiki
Naona ni video ya robo mwaka uliopita, wajitahidi kutoa updates walau kila wiki