Ni mwaka sasa tangu ujenzi uanze, sijaona kilichofanyika Bwawa la Rufiji

Ni mwaka sasa tangu ujenzi uanze, sijaona kilichofanyika Bwawa la Rufiji

Unaposema hamuoni, ni wewe na nani?

Halafu umetafuta wapi au sehem ukakosa au mkakosa?

Hebu tuanzie hapo kwanza.
TRC reli TV inaonesha hadi kufungwa kwa bolti kwenye Reli, lakini mambo ni kificho kwa keenda mbele huko Rufiji, hakuna anaeweza kutuambia wanafanya nini huko hadi sasa, wamefikia wapi, hata humu natafuta JF sioni walau maendeleo ya mradi umefika wapi, binafsi nipo gizani.., wewe unafahamu?
 
TRC reli TV inaonesha hadi kufungwa kwa bolti kwenye Reli, lakini mambo ni kificho kwa keenda mbele huko Rufiji, hakuna anaeweza kutuambia wanafanya nini huko hadi sasa, wamefikia wapi, hata humu natafuta JF sioni walau maendeleo ya mradi umefika wapi, binafsi nipo gizani.., wewe unafahamu?
Ukiwa unalima huhitaji coverage ya vyombo vya habari ndio.maana hata bunge iliamriwa wasiwe live sababu kile Ni kikao Cha kazi sio Cha kuuza sura kwenye media.

Wapo wanachapa kazi hawahitaji kupoteza muda na media project Kama zile Zina working hours na output per hour mtu hawezi acha kuchapa kazi eti Aache aongee na media atakatwa masaa na project cost zitaenda juu na mradi kuchelewa kumalizika kea masaa yanayopotea kwa engineers kupiga Domo na waandishi wa habari

Baadhi ya watanzania wasio na kazi hupenda kupiga Domo kwenye maeneo ya kazi ya watu ohh unaendeleaje na kazi mtu anaacha anachofanya ili apige Domo na Hilo zururaji lisilo na kazi

Kwenye projects wenzetu Wako serious huwa hawageuzi eneo la kazi kuwa la media kuuza sura zao na vikamera vyao mtumba
Au Wewe mleta mada mwandishi unataka uende upewe kavahasha ka ku cover progress ? Unatafuta katrip ka kupata kabahasha?
 
Nasikia kuna trillion kadhaa zimeshatumbukizwa huko, nilitegemea by now kuona walau bwawa limeinuka angalau hata sentimita 50, lakini wapi.., kuna anaefahamu kinachokwamisha?
Miradi ya upigaji hii, hao Arab contractors wamebeba mzigo wamewekeza hapo Uganda kwa m7
 
Mkuu nimekujibu kulingana na alivyopresent hii thread yako. Kwako wewe ni kama vile una uhakika kwamba hakuna chochote kinachoendelea. Huja-demand mamlaka zinazohusika (Tanesco na wizara ya nishati) kutoa progress reports za mradi kama inavyofanyika kwenye mradi wa SGR. Wewe ni kama unaponda tu kwamba so far hakuna kilichofanyika.
Tumeona work program inaonyesha mkamdarasi alitakiwa awe amefanya 20% lakni mkandarasi ameishalipwa 50% ya contact sum, ni ubabaishaji tu
 
Leta ushahidi, umejuaje wakati unasema hamjaona?

Mimi nasema ulikuwa bado, ndo walikuwa wamekamilisha mobilization
Wao wenyewe wamekuwa wakisema ujenzi umeanza, ila hadi leo mi sijaona chochote popote pale, tofauti kabisa na SGR ambapo taarifa zinamiminika tu..
 
Tumeona work program inaonyesha mkamdarasi alitakiwa awe amefanya 20% lakni mkandarasi ameishalipwa 50% ya contact sum, ni ubabaishaji tu
Hesabu zako haziko sahihi initial.cost ya mradi huwa ni.kubwa Kama kafanya 20 pertcent cost za mobilization unaziweka wapi? Vifaa vya ujenzi na material collection yake imefanyika SAA ngapi huwezi Seema tu kilayman or completed work so far Ni 20 per cent na kalipwa 50 percent Wewe ndie mweupe kichwani sababu assumption yako Ni kuwa hiyo project ilipoanza kila kitu kilikuwa on site na alileta kwa gharama zake bila advance payment!!! Ya mobilization

Kichwani uko.mweupe
 
Sasa mbona hatuoneshwi hata vibarua na mabulldozer yakiwa kazini walau hata tupate matumaini kama wanavyofanya SGR, yaani yamebaki maneno tu kwamba kuna Rufijiiii kuna Rufijiii, majukwa yote linatajwa hilo bwawa, wakati hata kipande cha kokoto au nondo hatuoneshwi site..., kuna nini?
Page zako ulizozifollow ninza umbea, tv unayoangalia ji wasafi tv, inategemea utayaona hayo unayotaka kuona?
 
Back
Top Bottom