FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sasa mbona hatuoneshwi hata vibarua na mabulldozer yakiwa kazini walau hata tupate matumaini kama wanavyofanya SGR, yaani yamebaki maneno tu kwamba kuna Rufijiiii kuna Rufijiii, majukwa yote linatajwa hilo bwawa, wakati hata kipande cha kokoto au nondo hatuoneshwi site..., kuna nini?Google ili upate kujua bwawa la umeme huwa linapitia hatua ngapi mpaka kukamilika. Usidhani kutengeneza bwawa la umeme ni sawa na kichimba kaburi au bwawa la kunyweshea mifugo. Ukiona mradi unatumia 6 trilion na unafanyika ndani ya miaka mitatu ili ukamilike ujue huo ni mradi mkubwa (mega project) kwa nchi zetu zinazoendelea na hivyo huwa kuna hatua mbalimbali zinafanyika za kitaalamu hadi mradi kama huyo kukamilika.
TUSUBIRI WAJUVI WA HAYA MAMBO WAJE WAFUNGUKE ZAIDI.
Unataka nipige magoti ndio ujue nimeomba? Acha kujibaraguza na changia mada kama una cha kuchangia..Omba usaidiwe elimu ..being sarcastic haitokusaidia..
Umeandika as if ni ujenzi wa choo cha umma huo
Mbona hatuoni hata kipande cha kokoto hapo site? Hatuoni hata hilo zoezi la kuhamisha mto, wanaficha nini? Mbona SGR hadi kufungwa kwa nati za reli wanaonyesha tena TBC1, nati tu..., tena kila hatua ya ujenzi inafanyiwa uzinduzi na wabunge na mawaziri wanazindua.., Rufiji kuna siri gani huko??!!We jamaa unaota, yaani mwaka tu uone sentimita 50!!! Mobilization - maandilizi tu yenyewe yanachukua miezi 6, itakuwa kuinua tuta? Tambua pia kuna kuhamisha mto ili bwawa lijengwe mahali mto ulipo kwa sasa
Mkuu nimekujibu kulingana na alivyopresent hii thread yako. Kwako wewe ni kama vile una uhakika kwamba hakuna chochote kinachoendelea.Sasa mbona hatuoneshwi hata vibarua na mabulldozer yakiwa kazini walau hata tupate matumaini kama wanavyofanya SGR, yaani yamebaki maneno tu kwamba kuna Rufijiiii kuna Rufijiii, majukwa yote linatajwa hilo bwawa, wakati hata kipande cha kokoto au nondo hatuoneshwi site..., kuna nini?
2025-2030Wacha pressure bwawa litakamilika akirudi awamu ya tatu,
Mtoa mada yupi huyo?Mkuu nimejibu kulingana na mleta mada alivyopresent hii thread yake. Kwake yeye ni kama vile ana uhakika kwamba hakuna chochote kinachoendelea. Hajademand mamlaka zinazohusika (Tanesco na wizazara ya nishati) kutoa progress reports za mradi kama inavyofanyika kwenye mradi wa SGR. Yeye ni kama anaponda tu kwamba so far hakuna kilichofanyika.
I mean You.Mtoa mada yupi huyo?
Mkuu nimejibu kulingana na mleta mada alivyopresent hii thread yake. Kwake yeye ni kama vile ana uhakika kwamba hakuna chochote kinachoendelea. Hajademand mamlaka zinazohusika (Tanesco na wizara ya nishati) kutoa progress reports za mradi kama inavyofanyika kwenye mradi wa SGR. Yeye ni kama anaponda tu kwamba so far hakuna kilichofanyika.
Unaposema hamuoni, ni wewe na nani?Mbona hatuoni hata kipande cha kokoto hapo site? Hatuoni hata hilo zoezi la kuhamisha mto, wanaficha nini? Mbona SGR hadi kufungwa kwa nati za reli wanaonyesha tena TBC1, nati tu..., tena kila hatua ya ujenzi inafanyiwa uzinduzi na wabunge na mawaziri wanazindua.., Rufiji kuna siri gani huko??!!
Google ili upate kujua bwawa la umeme huwa linapitia hatua ngapi mpaka kukamilika. Usidhani kutengeneza bwawa la umeme ni sawa na kichimba kaburi au bwawa la kunyweshea mifugo. Ukiona mradi unatumia 6 trilion na unafanyika ndani ya miaka mitatu ili ukamilike ujue huo ni mradi mkubwa (mega project) kwa nchi zetu zinazoendelea na hivyo huwa kuna hatua mbalimbali zinafanyika za kitaalamu hadi mradi kama huyo kukamilika.
TUSUBIRI WAJUVI WA HAYA MAMBO WAJE WAFUNGUKE ZAIDI.
Nilichojifunza akili zetu Watanzsnia zimejaa tope, hakuna awezaye kujibu bila kupaniki
Sent using Jamii Forums mobile app