Ni mwaka wa pili sasa sipo group lolote la WhatsApp

Ni mwaka wa pili sasa sipo group lolote la WhatsApp

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Najikuta tu siko kwenye group lolote la WhatsApp.

Ukiishi maisha ya kipekee raha sana. Kazini ni mwendo wa salamu, kazi na kicheko kidogo mnatawanyika.

Sijui magroup ya ma classmates sipo, magroup ya waliotoka Kijiji au wilaya au mkoa mmoja simo.

Magroup sijui ya kabila moja simo.

I feel good.
 
IMG_0563.jpg
 
Najikuta tu siko kwenye group lolote la WhatsApp.

Ukiishi maisha ya kipekee raha sana. Kazini ni mwendo wa salamu, kazi na kicheko kidogo mnatawanyika.

Sijui magroup ya ma classmates sipo, magroup ya waliotoka Kijiji au wilaya au mkoa mmoja simo.

Magroup sijui ya kabila moja simo.

I feel good.
Social withdrawal 😝
 
[emoji28][emoji28][emoji2357][emoji2357]

Yaani hii picha niliwahi kuiona kama miaka 3 iliyopita nikaipenda nikaisave kuangalia mtu ana group zote hizo ona msg kama zote angekuwa anasoma vitabu vya dini au vitabu vya watu ambao wamefanikiwa si angekuwa mbali?,ujiunge na group zote za nini hizo kupoteza muda japo kuna group ni poa sana ukute group za kazini admin ni Boss unakuta msg kwa mwezi mara moja au ipite miezi 3 pia huoni msg group mpaka kuwe na dharura.siyo group kama hizi unaweza ukajikuta mambo yako yanakuwa magumu kumbe ni group ulizojiunga mawazo yao ni mgando.
 
Duh..wewe ni kiboko asee

Nisiposikia jina lako linatajwa Kwa 'watu wa motoni' nakata rufaabkwa kweli

Hapana siyo mimi hiyo picha niliidownload tu yaani niliipenda huyo mtu ana groups zoote hizo halafu zoote wala siyo za maendeleo aisee.yaani niliipenda nikiitazama huwa nacheka tu sijui ni nani huyu[emoji16]
 
Group la familia??

Group la mtaa wako unaoishi, kijijini kwenu, n.k kupeana salamu na habari??

Group la marafiki zako wa sasa au zamani mtaani, shuleni, chuoni, n.k??

Binafsi sipo kwenye magroup ya vichekesho, mapenzi, umbea, n.k lskini nipo kwenye magroup muhimu kama niliyoyataja juu .

Yawezekana wewe ni mtu mpweke au unajitenga na jamii kwa lugha ya kitaalamu unaitwa introvert
 
Back
Top Bottom