Ni mwaka wa pili sasa sipo group lolote la WhatsApp

Ni mwaka wa pili sasa sipo group lolote la WhatsApp

Sina group lolote maishani, kibaruani namba ya simu niliyowapa huwa naizima kuanzia asubuhi na kuiwasha saa moja jioni (kwa ajili ya msg zilizoingia tangu asubuhi) ila kuna snich mmoja nilimpa namba ambayo ipo hewani kwa shart asimpe mtu bila ruhusa yangu, huwa nampigia nikiwa na nafasi kujua yanayojili nikiwa sipo.

Sipendi kupigiwa simu ..basi tu! Msg natamani ziingie kimya kimya ili nizisome na kujibu nikiwa na "muda"
 
Mwanzo nilikuwa sipo kwenye group lolote la whatsapp,ila 2020 nilipata magroup ya tawi,wilaya,mkoa CCM sina group lingine kwenye simu zaidi ya magroup ya chama .
 
Meseji zikiingia unaanza kutoa macho nani anakutazama. We mrombo vipi? Wenzio wana grupu za dili wewe umekalia ngono tu

Nimecheka kweli[emoji16][emoji16][emoji16] eti mrombo mimi sijachunguza kabisaa kama ni mrombo
 
Najikuta tu siko kwenye group lolote la WhatsApp.

Ukiishi maisha ya kipekee raha sana. Kazini ni mwendo wa salamu, kazi na kicheko kidogo mnatawanyika.

Sijui magroup ya ma classmates sipo, magroup ya waliotoka Kijiji au wilaya au mkoa mmoja simo.

Magroup sijui ya kabila moja simo.

I feel good.
Kibongobongo Magroup ni Kupotezeana Muda tuu, Mimi nilikuwemo awali baadae nimetoka. Ni unafiki kwa kwenda mbele
 
Back
Top Bottom