Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kwa style hii ugonjwa wa nyeto huwezi kupona
Hapa kwa style hii ugonjwa wa nyeto huwezi kupona
Hapo hasomi mesej hapo yeye anaangalia vdeo znazotumwa tu zle za 10 ya kirumi[emoji16] [emoji16] [emoji16] dahh kwa haraka kabisa ukiicheki hizi msg huyu kwa siku si anaweza kusoma biblia akaimaliza au kama ni muislam anaisoma quraan yote.maana si kwa msg nafikiri si chini ya 1000 au aingie kwenye kusoma encyclopedical volume kwa volume kibao.yeye kabezi kwenye group kwa kweli Albert Einstein alisema siku teknolojia ikipamba moto duniani na wajinga wataongezeka namkubali huyu nguli.una group zoote hizo mwisho ataishia kupiga self
Hata la familia?Najikuta tu siko kwenye group lolote la WhatsApp.
Ukiishi maisha ya kipekee raha sana. Kazini ni mwendo wa salamu, kazi na kicheko kidogo mnatawanyika.
Sijui magroup ya ma classmates sipo, magroup ya waliotoka Kijiji au wilaya au mkoa mmoja simo.
Magroup sijui ya kabila moja simo.
I feel good.
Hapo hasomi mesej hapo yeye anaangalia vdeo znazotumwa tu zle za 10 ya kirumi
Sipendi hiyo tabia. Yaani unakuta mtu anaku add bila ridhaa yako.Hivi hakuna namna ya kudhibiti WhatsApp kuungwa kwa group ikuombe ruhusa kwanza na sio kujikuta tu tayari uko kwa group
You my friend are a serious INTROVERT.Najikuta tu siko kwenye group lolote la WhatsApp.
Ukiishi maisha ya kipekee raha sana. Kazini ni mwendo wa salamu, kazi na kicheko kidogo mnatawanyika.
Sijui magroup ya ma classmates sipo, magroup ya waliotoka Kijiji au wilaya au mkoa mmoja simo.
Magroup sijui ya kabila moja simo.
I feel good.
Kila siku watu wanapost habari za kuokoteza tu ilomradi group lichangamke.Hivi kabla ya Whatsapp watu hawakushirikiana? Maana utakuta mtu anakuambia, usipojiunga kwa group ukipata tatizo(msiba) hatukuchangii. Kwani si naishi na watu vizuri kuanzia kazini hata mtaani, ntakosaje msaada?
Mtoa mada nakupongeza kwa kuyaepuka magroup iwapo unaona hayana tija kwako. Maisha ni zaidi ya Whatsapp.
Tatizo sio wingi wa kundi....tatizo ni makundi gani?Ahh basi mimi huwa naitazama kila nikiiona hii picha huwa nacheka peke yangu hata kama nilikuwa nimekasirika ahh grops zote hizo
Hahaha kwakweli. Tatizo sana hiliAnatakiwa apate mtu wa elimu ya nafsi(saikolojia) huenda ana matatizo
Hana familia labda aliangukaVipi kuhusu group la familia?
Wewe jamaa km magroup yako Ni haya umejiandalia makazi mazuri motoni