Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni usumbufu sana,ukiwasha data meseji 1000 zinaingia,mipicha ya kutosha.Yaani hii picha niliwahi kuiona kama miaka 3 iliyopita nikaipenda nikaisave kuangalia mtu ana group zote hizo ona msg kama zote angekuwa anasoma vitabu vya dini au vitabu vya watu ambao wamefanikiwa si angekuwa mbali?,ujiunge na group zote za nini hizo kupoteza muda japo kuna group ni poa sana ukute group za kazini admin ni Boss unakuta msg kwa mwezi mara moja au ipite miezi 3 pia huoni msg group mpaka kuwe na dharura.siyo group kama hizi unaweza ukajikuta mambo yako yanakuwa magumu kumbe ni group ulizojiunga mawazo yao ni mgando.
Sipo huko kote.Group la familia??
Group la mtaa wako kupeana salamu na habari??
Group la marafiki zako??
Group la shule ya msingi, sekondari au chuo??
Kama huna hizi group kuna uwezekano mkubwa wewe ni mtu wa kujitenga sana
Hapo shida nini marafiki wakiku add hua una left au hujawahi hata kuaddiwa kwenye group lolote.Najikuta tu siko kwenye group lolote la WhatsApp.
Ukiishi maisha ya kipekee raha sana. Kazini ni mwendo wa salamu, kazi na kicheko kidogo mnatawanyika.
Sijui magroup ya ma classmates sipo, magroup ya waliotoka Kijiji au wilaya au mkoa mmoja simo.
Magroup sijui ya kabila moja simo.
I feel good.
Hayo ni maoni yako.Maana yake wewe ni Useless Hopeless usijione special, wengi hatupendi magroup ila kuna yale lazima uwepo.
Ni usumbufu sana,ukiwasha data meseji 1000 zinaingia,mipicha ya kutosha.
Nayafuta ma group yote sasa kuna baadhi ya mambo muhimu nasevu kwanza.
Nilikuwa kwenye magroup lakini nikibadili simu huwa siyahitaji tena. Nayamute.Hapo shida nini marafiki wakiku add hua una left au hujawahi hata kuaddiwa kwenye group lolote.
Mara nyingi hayo magroup huwa yanadiscuss ujingaNajikuta tu siko kwenye group lolote la WhatsApp.
Ukiishi maisha ya kipekee raha sana. Kazini ni mwendo wa salamu, kazi na kicheko kidogo mnatawanyika.
Sijui magroup ya ma classmates sipo, magroup ya waliotoka Kijiji au wilaya au mkoa mmoja simo.
Magroup sijui ya kabila moja simo.
I feel good.
Maana yake wewe ni Useless Hopeless usijione special, wengi hatupendi magroup ila kuna yale lazima uwepo.
Hongera mkuuNilikuwa kwenye magroup lakini nikibadili simu huwa siyahitaji tena. Nayamute.
Magroup ya familia hasa za kiswahili nilijitoa,lawama, kujikweza dharau vilinishinda, nilileft mkavumkavu.Utakuwa na muda gani kuzisoma zote hizo zaidi uiwele simu yako isiwe inasave vitu vya group au na pia uwe unalinyamazisha zile notification za msg zisitokee kabisaa kwa sababu kuna baadhi ya group siyo poa kujitoa ni za familia kwa hiyo unalinyamazisha tu.
"Awiiiii.... awaaaaahNajikuta tu siko kwenye group lolote la WhatsApp.
Ukiishi maisha ya kipekee raha sana. Kazini ni mwendo wa salamu, kazi na kicheko kidogo mnatawanyika.
Sijui magroup ya ma classmates sipo, magroup ya waliotoka Kijiji au wilaya au mkoa mmoja simo.
Magroup sijui ya kabila moja simo.
I feel good.
Sema kitochi bado hakinauwezo wa kikaunga whatsapNajikuta tu siko kwenye group lolote la WhatsApp.
Ukiishi maisha ya kipekee raha sana. Kazini ni mwendo wa salamu, kazi na kicheko kidogo mnatawanyika.
Sijui magroup ya ma classmates sipo, magroup ya waliotoka Kijiji au wilaya au mkoa mmoja simo.
Magroup sijui ya kabila moja simo.
I feel good.
[emoji28][emoji28][emoji119], ngoja nikachukue link ntakucheki pm,si unajua link haziruhusiwi jamvini..Mkuu naomba unipeleke kwa Mparange
Asante[emoji39][emoji28][emoji28][emoji119], ngoja nikachukue link ntakucheki pm,si unajua link haziruhusiwi jamvini..