Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Tatizo la nini tena?Kutakuwa na tatizo mahali,chunguza kwa makini.
[emoji28][emoji28][emoji2357][emoji2357]
Social withdrawal 😝Najikuta tu siko kwenye group lolote la WhatsApp.
Ukiishi maisha ya kipekee raha sana. Kazini ni mwendo wa salamu, kazi na kicheko kidogo mnatawanyika.
Sijui magroup ya ma classmates sipo, magroup ya waliotoka Kijiji au wilaya au mkoa mmoja simo.
Magroup sijui ya kabila moja simo.
I feel good.
[emoji28][emoji28][emoji2357][emoji2357]
Huyu bia yetu a.k.a kilevi chetu anazingua sanaHata Mimi magroup Sina interest nayo naona Kama uwaki tu
JF ndio group langu nikiwa nabishana na kina Bia yetu nahisi ndio nyumbani na nakua huru moyoni!
Duh..wewe ni kiboko asee
Duh..wewe ni kiboko asee
Nisiposikia jina lako linatajwa Kwa 'watu wa motoni' nakata rufaabkwa kweli
Huyo mtu ni htr sn[emoji1787]Hapana siyo mimi hiyo picha niliidownload tu yaani niliipenda huyo mtu ana groups zoote hizo halafu zoote wala siyo za maendeleo aisee.yaani niliipenda nikiitazama huwa nacheka tu sijui ni nani huyu[emoji16]
Duh..wewe ni kiboko asee
Nisiposikia jina lako linatajwa Kwa 'watu wa motoni' nakata rufaabkwa kweli
Huyo mtu ni htr sn[emoji1787]
Ahahaha.
Atakuwa malaika huyu