Ni mwaka wa tatu nipo kwenye uadui mkubwa na wazazi wangu; siwasiliani nao wala sishirikiani nao kwa lolote

Wanaume hawajazoea kuoneshwa ukarimu, ukiwaonesha ukarimu wanadhani unawataka.

Ni vizuri kuchambua/kuelewa hisia za wanawake before kujiingiza mzima mzima.
 
Why people are bad people?

I always tells you about narcissists people, hicho nilichobold ndio haswa character za narcissism. Mtu wa hivyo huwa hatoi chance ya kurekebisha mambo zaidi ya kutafuta next victim, next victim ni mtu wa kumfanyia shege zake.

Na kikawaida a narcissist person akishajua kuwa umejua yeye ni mtu mbaya, ndio kabisa hato reconcile na wewe. Huwa hawapendi victim wao wafahamu kuwa wanafanyiwa ubaya (sijui kama hili linaeleweka)
 
Uliwaonesha wazazi wako Ujumong, hata ningekuwa Mimi maza angechezea kipacho. Mm wazazi waliacha kunipiga baada ya kuanza kidato cha kwanza.. Mimi nakushauri endelea na Maisha yako
 
Why people are bad people..

Some of them wamepitia traumatic events na kukosa upendo

Kuna ambao Wana mental issues (jua kutofautisha)

Kuna ambao hawana huruma(sense) kilio chako ndio furaha kwake,kuumiza wengine kwake it's just a game

Na Kuna wenye drive kubwa na their needs or desire hawajali Kama utakufa au kuumia mwili au hisia,ilimradi tu apate anachotaka.....

MALEZI MABAYA
 
Jiangalie mkuu usije ukawa na udugu na shetani!
 
Sasa Mkuu wewe unampigaje mama yako tena mama mzazi?. Hata mimi ningekuwa ndio mshua wako ningekuletea shida kubwa sana, wewe unampigaje mke wangu.

Ulikosea sana Mkuu, sababu hata chanzo cha kupigwa na mama yako ni wewe kuzingua. Umeeleza tu hapa kuwa ni mshari ili tu kujifariji, ulizingua Kiongozi.

Angalia tu mwanao asije kukupiga sana au kukuua kabisa.
 
Noted, na Asante sana Kwa Ushauri
 
Siwezi kufanya Ivo mkuu
Usithubutu Mkuu hata kama anakuletea mitego ukikubali kumla utapoteza hatima ya maisha yako. Kumbuka kisa cha Nabii Yusufu SA na mke wa Farao. Yusufu angetanguliza tamaa za mwili taifa la Israeli lingekufa kwa njaa na Wamisri wote leo wasingekuwepo duniani
 
Pole sana bro ila hongera kwa juhudi binafsi
Tambua mungu utumia watu ili kukamilisha safr ya maisha yako pia nafsi mzazi inaishia kuwa mzazi na ya mungu inabaki ya mungu chki na hasira zao azijawez kuzuia baraka zako kwa mungu as long as mungu yu pamoja nawe
We mshukulu mungu tu
 
Na mimi ndo huyo Dokita speshalisti, so nakazia mwakani ndoa ipo palepale mleta mada atabaki kuwa shemeji yangu tu! na si vinginevyo.
Hureeeeee hariririririiiiiiiii mlisema haolewiiii mbona kaolewaaaaa
 
Danpol ur missed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…