financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Ooh really? Let me scroll down and see ⬇️I am happy to hear that, I wrote the pre engagement letter, have you seen it? 😍😍😍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh really? Let me scroll down and see ⬇️I am happy to hear that, I wrote the pre engagement letter, have you seen it? 😍😍😍
Wanaume hawajazoea kuoneshwa ukarimu, ukiwaonesha ukarimu wanadhani unawataka.Huo ushauri wa kukaa kitako kumchana binti makavu ilhali binti hajawa wazi kua anamtaka ni kiburi cha mafanikio hicho.
Aishi nae kama rafiki na kama ndgu, hizo anazosema green light si ajabu kwa binti ni mambo ya kawaida kumfanyia rafiki ila yeye kwa sababu anampenda binti basi anaona kama binti kazama mazima kwake.
Why people are bad people?Kuna mtu atasema mama yako ana “mental health” hiyo ni lame excuse I've come to learn there is a way to distinguish bad people from mentally ill people,mtu mbaya haijalishi ni Mama yako au bibi yako sio wa kutafuta suluhu nae ,she will break you muda wowote akipata chance..
Kama alio kufanyia hajawahi kuona kosa lake Wala kujaribu kuomba msamaha she's EVIL .
People are quick to malign the mentally ill; the violent adult attacking a child or hate is malevolent, not mentally ill
God has a VERY SPECIAL place in HELL for parents who abuse their children
Why people are bad people..Why people are bad people?
I always tells you about narcissists people, hicho nilichobold ndio haswa character za narcissism. Mtu wa hivyo huwa hatoi chance ya kurekebisha mambo zaidi ya kutafuta next victim, next victim ni mtu wa kumfanyia shege zake.
Na kikawaida a narcissist person akishajua kuwa umejua yeye ni mtu mbaya, ndio kabisa hato reconcile na wewe. Huwa hawapendi victim wao wafahamu kuwa wanafanyiwa ubaya (sijui kama hili linaeleweka)
Jiangalie mkuu usije ukawa na udugu na shetani!Hakuna popote napotia mguu alafu nisipewe uongoz, siombag uongoz unanifuata, hii kichwa yangu sio empty box kwamba inaenda tu ilimradi inaenda, wewe kama unaona ni sawa mwanaume mtu mzima miaka 25 kupigwa na mzazi kapigwe ila kwangu nasema "alogwe mtu ajichanganye" mtoa mada simjui ila najua hakika 100 kua haya yanatokea ni shinikizo la viende kumtaka arudi kwa wazazi , watu walio mzunguka ndio wanao msumbua kuliko uhalisia wenyewe wala sio yeye
Msimamo wangu n kua the moment nimetoa mguu nyumban wasingeniona tena hadi yesu arudi , na mfano ulio hai n kua niko dsm na home ni hapa hapa dsm ila nina miaka miwil sijawah ibuka na sifikirii siku za karibun na hakuna tatizo wala
Hasara kwa jamii na taifa watu aina yakoJiangalie mkuu usije ukawa na udugu na shetani!
Noted, na Asante sana Kwa UshauriMsimtishe mtoa mada...kama wazazi hawataki msamaha afanyaje? Hivi nyie mlishakutana na wazazi makatili nyie? Hamuoni ni Mungu alifanya huyo mtoto afikie leo kuwa kijana huyo mama angeweza kumuua...sasa leo kisa alikuzaa ndo anapaswa kumfanyia mtoto namna ile? Kwani mtt aliomba azaliwe? Sisi wazazi tuna la kujifunza..ukilea wtt kwa upendo hawata kurudi hata siku moja...
Cha msingi aitafute amani ya moyo wake..kama moyo unamtuma au unahitaji la kuendelea kuwaomba msamaha basi afanye hivyo kama hajisikii tena moyo umekufa ganzi aachane nao...
Mungu aliemvusha kwny magumu atamfikisha pale anapotaka binadamu sio mtoa riziki....
😃😃😃Mm nilivosoma mama anapiga na kuni nikajua hii ngoma ni kule kule😄
Siwezi kufanya Ivo mkuuMavi-jana ya siku hizi yasivyojiheshimu linaweza kuomba kumega kimasikhara! Hovyo kabisa! Atakuwa amemkosea sana huyo dada pamoja na yule daktari!
Usithubutu Mkuu hata kama anakuletea mitego ukikubali kumla utapoteza hatima ya maisha yako. Kumbuka kisa cha Nabii Yusufu SA na mke wa Farao. Yusufu angetanguliza tamaa za mwili taifa la Israeli lingekufa kwa njaa na Wamisri wote leo wasingekuwepo dunianiSiwezi kufanya Ivo mkuu
Ni kwenye paji la uso tu mbona😂🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa mbona unambusubusu kaka yako?
Jiandae kwa ndoa tu,nshapeleka posa kwenuNa huyo dokita ndio huyo mimi sasa sikuoi kwahiyo mwamba akitaka mazingira mpe yote.
Hata nikishawishika hatutakamatwa🥲🥲Sasa huyo kaka yako wa hiari tafuta namna nzuri ya kuhusiana naye, usimtie majaribuni kama alivyoeleza pale. DDu
Hureeeeee hariririririiiiiiiii mlisema haolewiiii mbona kaolewaaaaaNa mimi ndo huyo Dokita speshalisti, so nakazia mwakani ndoa ipo palepale mleta mada atabaki kuwa shemeji yangu tu! na si vinginevyo.
Danpol ur missed.Hakuna popote napotia mguu alafu nisipewe uongoz, siombag uongoz unanifuata, hii kichwa yangu sio empty box kwamba inaenda tu ilimradi inaenda, wewe kama unaona ni sawa mwanaume mtu mzima miaka 25 kupigwa na mzazi kapigwe ila kwangu nasema "alogwe mtu ajichanganye" mtoa mada simjui ila najua hakika 100 kua haya yanatokea ni shinikizo la viende kumtaka arudi kwa wazazi , watu walio mzunguka ndio wanao msumbua kuliko uhalisia wenyewe wala sio yeye
Msimamo wangu n kua the moment nimetoa mguu nyumban wasingeniona tena hadi yesu arudi , na mfano ulio hai n kua niko dsm na home ni hapa hapa dsm ila nina miaka miwil sijawah ibuka na sifikirii siku za karibun na hakuna tatizo wala