Acha wahuni waendelee kubwabwaja humu mitandaoni wengine wanawekeza ama kuangalia maeneo potential kwa uwekezaji.Bandari inaanzia mlingotini mpaka zinga. Haya maeneo ndiyo ya kuwahi kuwekeza nyumba za kupanga na lodge kwa ajili ya wageni na wafanya kazi wa bandari. Changamkieni fursa mapema
Jamaa yako alisemaga eti gase imeuzwa,, nduguzanguni wakristo tuache roho za kwanini,, akifanya muislamu sawa akifanya mkirsto iwe sawa. Roho za kwanini hazijengi,, SSH angeweza kusitisha ununuzi wa ndege, kwani ni mradi wa jpm, au angesitisha bwawa la nyerere richa ya kuwa ni uwekezaji ambao hauna garantii ya hali ya hewa, lakini hana roho ya kwanini. Eti mradi ukikamilika atasifiwa jpm na si yeye,,Tokea upate ufahamu ulishawahi kuonyeshwa mikataba hadharani ama unajisemea tu…Jiwe aliamua kuwa muwazi period… maana hili swala la Tanzania kufanywa kichwa cha mwendawazimu kilimkera sana, mara kwa mara alikuwa anasema tumechezewa sana…imetosha
sasa km wewe ni tomaso subiria nchi iuzwe hii uchakae…ukafikiria ni watu wote wako kwa ajili ya maslahi yako…
Mi mjumbe tuUnasema kikwete kuweka Jiwe la msingi inamaanisha kulikuwa na Mkataba alafu huweki huo mkataba!
Wewe ni sukuma gang tu! Hamna ushahidi kazi kupoteza muda humu kushambulia miradi anayofanya Mama Samia
Bagamoyo ni bandari asili na kubwa miaka na miaka
Mkuu njoo PM kama bado unahitaji.dah nilitaka kuuziwa kiwanja hapo ukuni kikubwa kweli kwa bei yakutupa nikadharau... dah leo bei zitakuwa balaa......
Tuache siasa, hatuwawezi hawa wanasiasa wetu washatushinda na sisi ni majibwa koko tu....sisi tutafute fursa zilizopo na sisi tufanye yetu..
Kama jamaa yako alikuwa na mapenzi ya dhati na nchi hii alitakiwa kuweka wazi mkataba mzima ili tuone mapungufu na faida.Tokea upate ufahamu ulishawahi kuonyeshwa mikataba hadharani ama unajisemea tu…Jiwe aliamua kuwa muwazi period… maana hili swala la Tanzania kufanywa kichwa cha mwendawazimu kilimkera sana, mara kwa mara alikuwa anasema tumechezewa sana…imetosha
sasa km wewe ni tomaso subiria nchi iuzwe hii uchakae…ukafikiria ni watu wote wako kwa ajili ya maslahi yako…
Heshima mkuu kwa uwasilishaji wa mada wenye mantiki.Nimeona wengi wakimshutumu Mwambe, lakini inawezekana Mwambe akawa yupo sawa Ila kikwete ndio aliongopa.
Tarehe 17/10/2015 ilifanyika hafla ambapo raisi mstaafu J Kikwete alizindua jiwe la Msingi kwa ajili ya ujenzi wa bandari ya bagamoyo.
Hadi kufikia hatua ya kuweka jiwe la Msingi tafsiri rahisi ni kuwa mmeshakubaliana (mkataba) kuanza ujenzi.
Sasa hivi Mwambe anasema hakuna mkataba uliosainiwa bali ilikua muhtasari tu wa vikao, sasa Cha kujiuliza lile jiwe walilozindua raisi kikwete pamoja na wale wachina ilikua geresha?
Au inawezekana pia raisi kikwete alituongopea, lile jiwe la Msingi halikua kwa ajili ya bandari ya bagamoyo.
Ni nani mkweli Kati ya kikwete na Mwambe?
Chini nimeweka clip ya you tube kikwete alizindua hilo jiwe la msingi
View attachment 2016527
Unawasaliti waTanzania wenzako wasiokuwa na mianya ya kufanya hayo unayotarajia kuyafanya wewe. Upo tayari kuwauza, kama wanavyouzwa na hawa wanasiasa unaosema tuachane nao.dah nilitaka kuuziwa kiwanja hapo ukuni kikubwa kweli kwa bei yakutupa nikadharau... dah leo bei zitakuwa balaa......
Tuache siasa, hatuwawezi hawa wanasiasa wetu washatushinda na sisi ni majibwa koko tu....sisi tutafute fursa zilizopo na sisi tufanye yetu..
Tumkumbuke sana huyu mwamba,miaka 99 inakuwaje mkataba huo.Mama Samia na watu wake wanatafuta gea zote za kuhalalisha hii Bandari. Kumbe Magufuli alikumbuka na hii kadhia ndiyo maana akawa anasema ni mkataba wa kipumbavu.
Na Samia akiondoka akaja mzalendo kama Magufuli kuna uhakika gani kuwa hayo makubaliano ya huo ujenzi yatasalimika?Sasa tulitegemea serikali ya Samia Suluhu ije na kauli kuwa, imeamua kufufua ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ambao mkataba wake ulizuiwa kutekelezwa na Magufuli.
Mimi naishi bagamoyo na Nina ipenda bagamoyo.
Wote wanaweza kuwa waongo. Kwani lazima wanasiasa ndiyo wafikiri kwa niaba ya wananchi kana kwamba wananchi hawana akili na wanasiasa ndiyo wenye akili tu.Nimeona wengi wakimshutumu Mwambe, lakini inawezekana Mwambe akawa yupo sawa Ila kikwete ndio aliongopa. Tarehe 17/10/2015 ilifanyika hafla ambapo raisi mstaafu J Kikwete alizindua jiwe la Msingi kwa ajili ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo...
Kama jamaa yako alikuwa na mapenzi ya dhati na nchi hii alitakiwa kuweka wazi mkataba mzima ili tuone mapungufu na faida.
Nijuavyo maana ya mkataba kuna utakachopata na ambacho utapoteza.
Magufuli aliorodhesha hasara lakini hakutaja faida hata moja.
Haiwezekani mkataba mzima ulikuwa wa kupoteza kila kitu.
Hata hivyo hilo halishangazi sana ,maana Magufuli alikuwa na ubinafsi mwingi.
Hivi ni uzalendo gani aliotumia kujenga uwanja wa ndege Chato badala ya Geita.
Geita ni karibu na Sengerema, Kahama, Ushirombo, Katoro, Mbogwe nk, lakini kwa kuwa alikuwa mbinafsi hakuona hasara ya kwenda kuteketeza hela za walipa kodi kijijini kwao Chato.
Kikwete sio mtu wa kuaminiwa kabisa tuwe nae makini kwani hii mikenge yote alisababisha yeye, angalia umeme unavyotusumbua kwa mikataba ya kuuza gesi yetu aliyoifanya!Ni nani mkweli Kati ya kikwete na Mwambe?
Mkuu haya yote ni sera mbovu za maraisi wa ccm na viongozi wengine huku bunge letu nalo nikiwa dhaifu na hovyo kabisa.Naamini madini yanathamani kubwa sana ulimwenguni… sasa katika sekta ya madini mikataba haikuwa wazi…umefaidika nini na huo uwekezaji…
Jamaa kajitoa muhanga kusema ukweli mnaanza kuquestion…shida zimetuzunguka kila kona huna umeme, huna maji, huna hela, tozo zimekuzunguka, madarasa hatuna, dawa hospitalini huna bado mnakimbilia wawekezaji ambao tokea waanze kuja hakuna mabadiliko yoyote kwa maisha ya mtanzania shida ni zilezile…unabaki kuquestion mikataba ambayo mmeshaonyeshwa wazi jinsi tunavyochezewa…faida unazozitaka zipi wakati kashakwambia TRA hawataruhusiwa kusimamia mapato au za mama ntilie na vibarua kupata ajira…
Hv tumelogwa!
Sio miradi ya Mama tu bali ni miradi ya TAIFA JUA HILO KWANZAUnasema kikwete kuweka Jiwe la msingi inamaanisha kulikuwa na Mkataba alafu huweki huo mkataba!
Wewe ni sukuma gang tu! Hamna ushahidi kazi kupoteza muda humu kushambulia miradi anayofanya Mama Samia
Kwani na hao wa sasa washauweka open kwa watz??Aliwai kuuweka wazi huo mkataba hadi aaminiwe?
Wa sasa wamesema kweli hakukuwai kuwa na mkatabaKwani na hao wa sasa washauweka open kwa watz??