Ni Mwambe au Kikwete yupi muongo kuhusu mkataba wa Bagamoyo?

Serikali imekanusha kutokuwepo mkataba kati ya Tanzania na mwekezaji kutoka China wa Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo,huku kumbukumbu za hotuba za Rais @jmkikwete zikionyesha mnamo 14/10/2015 alizindua mradi huo wa Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo,je alizindua bila kuwepo mkataba? https://t.co/32rk2rLeLEView attachment 2018845
Ukiwaamini viongozi wa Serikali hii basi utaamini kila kitu chini ya jua

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya JK yalikuwa ni ya sayari nyingine tukianza kuyatafuta sasa hivi tutaumia vichwa we acha tunywe bia wikend usitufikirishe vigumu sasa hivi
 
Serikali imekanusha kutokuwepo mkataba kati ya Tanzania na mwekezaji kutoka China wa Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo,huku kumbukumbu za hotuba za Rais @jmkikwete zikionyesha mnamo 14/10/2015 alizindua mradi huo wa Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo,je alizindua bila kuwepo mkataba? https://t.co/32rk2rLeLEView attachment 2018845
Mkuu ingawa nipo ccm kwa hali nayoiona tunahitaji ukombozi maana ccm naona kama kuna mafisi ya hatari.
 
Serikali imekanusha kutokuwepo mkataba kati ya Tanzania na mwekezaji kutoka China wa Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo,huku kumbukumbu za hotuba za Rais @jmkikwete zikionyesha mnamo 14/10/2015 alizindua mradi huo wa Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo,je alizindua bila kuwepo mkataba? https://t.co/32rk2rLeLEView attachment 2018845
Ulizinduliwa ujenzi wa Bandari au Walizindua Mradi wa Ujenzi wa Bandari pending negotiations?

Kama unadai kulikuwa na Mkataba acha kuleta tuhuma, weka huo mkataba humu!

Vinginevyo maelezo ya Serikali ndo ya kweli maana wamesema hakukuwai kuwepo na Mkataba!

Nyie mnaodai mkataba ulikuwepo acheni kuleta tuhuma hewa humu! Weken huo mkataba
 
Kwa hizi ngonjera ninaamini serikali ya sasa wanauwongo mkubwa sijui kwanini wanapenda kudamgamya
 
Yeyote atakaye uza urithi wetu huu,pesa aliyopewa ikamtokee puani,na kizazi chake kikabebe laana ya kuliingiza taifa hili kwenye utumwa wa madeni ya mchina pasipo Sababu.
 
Huu mradi ndio ulioamsha mzuka wa ubinafsi na upendeleo wa kikanda. Kwa bahati mbaya sana juhudi za kufubaza miradi ya Chato imegeuka kuwa hamasa kwenye kufufua miradi iliyopigwa stop, ya Bandari ya Bagamoyo, Gesi ya Mtwara, Bomba la gesi kwenda Kenya.... Na wapishi wa shughuli hii wanafahamika, Vasco Da Gamma, Oman ikiwa kwenye mbeleko ya Bimkubwa na Macho madogo wenye lao jambo.

Kimbembe ni pale ambapo pesa iliyotolewa kama kishikauchumba iliishaliwa na kwa mwelekeo huu huenda ikawa ngumu kuirudisha kwa mwenyewe. Tanzania hii ni yetu sote, tupige hata kelele pale tunapowaona watu wajanja wajanja wakitaka kupitisha agenda zao binafsi.... Vinginevyo sioni sababu ya kuwa na JMT wakati watu wamejigawa kikanda.
 
Woooote waliokuwa kwenye kamati ya kupinga huu Mradi akina Mfugale Et Al wameshatangulizwa Mavumbini ili kuficha uozo wa mkataba husika. Nadhani hata huyu Muha Kakonko anaendelea kupumua kwa aibu na mbawa za Makamu Presidaaa Mhe Mapango!
Bandari ya Bagamoyo kamwe hautakuja jengwa Watanzania tutaonyesha kila aina ya rangi kupinga huu mradi ya Kiimla na Mufilisi wa Nchi yetu.
 
Inasikitisha na kuchukiza. Hivi huwa wanafikiri kuwa hakuna mwananchi anayefahamu kila wanachopangwa au ni ubabe tu 🤔 ?.
 
Aisee tunahitaji Katiba mpya. Hatutaki tena viongozi wa kuja kutuambia wanajuta kufanya maamuzi fulani na hatuwezi kuwachukulia hatua yoyote.
Au wanasema walishauria vibaya.
Hili la bandari linashauriwa sana na timu zetu za wataaam zimeshakataa.

Hao wanaolazimisha wana maslahi gani ndani?
 
Sukuma Gang bhana wana waya waya kweli.kwa hio kuondolewa kwa kakoko ni dhambi?kwani kipindi cha Jiwe wameondolewa wangapi ofisini?ilikuwa kwa sababu ya nongwa au?
Halafu kwann Jiwe hakuupeleka bungeni huo mkataba ili ukajadiliwe tuone madhaifu yake?
Kwann pia hakupeleka bungeni Ujenzi wa uwanja wa chatto ili upitishwe bungeni na wabunge?
Kwa nn hakupeleka bungeni ununuzi wa ndege?daraja LA busisi?
Mnachotaka tuamini ninyi Sukuma gang ni kuwa Jiwe alikuwa Malaika ambae hakukosea chochote ktk uongozi sorry utawala wake kitu ambacho sio kweli.
Tungeshirikiana wote kipindi kile kuhoji kuhusu manunuzi ya kiserikali kufanyika pasipo bunge tungeungana na ninyi kipindi hiki hayo mnayotaka yafanyike.
Vinginevyo tunaona kama ni Chuki tu binafsi na wivu wa kike sababu hamko kwenye mfumo basi.
 
Back
Top Bottom