SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Ukiwaamini viongozi wa Serikali hii basi utaamini kila kitu chini ya juaSerikali imekanusha kutokuwepo mkataba kati ya Tanzania na mwekezaji kutoka China wa Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo,huku kumbukumbu za hotuba za Rais @jmkikwete zikionyesha mnamo 14/10/2015 alizindua mradi huo wa Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo,je alizindua bila kuwepo mkataba? https://t.co/32rk2rLeLEView attachment 2018845
Mkuu ingawa nipo ccm kwa hali nayoiona tunahitaji ukombozi maana ccm naona kama kuna mafisi ya hatari.Serikali imekanusha kutokuwepo mkataba kati ya Tanzania na mwekezaji kutoka China wa Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo,huku kumbukumbu za hotuba za Rais @jmkikwete zikionyesha mnamo 14/10/2015 alizindua mradi huo wa Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo,je alizindua bila kuwepo mkataba? https://t.co/32rk2rLeLEView attachment 2018845
Ulizinduliwa ujenzi wa Bandari au Walizindua Mradi wa Ujenzi wa Bandari pending negotiations?Serikali imekanusha kutokuwepo mkataba kati ya Tanzania na mwekezaji kutoka China wa Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo,huku kumbukumbu za hotuba za Rais @jmkikwete zikionyesha mnamo 14/10/2015 alizindua mradi huo wa Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo,je alizindua bila kuwepo mkataba? https://t.co/32rk2rLeLEView attachment 2018845
Woooote waliokuwa kwenye kamati ya kupinga huu Mradi akina Mfugale Et Al wameshatangulizwa Mavumbini ili kuficha uozo wa mkataba husika. Nadhani hata huyu Muha Kakonko anaendelea kupumua kwa aibu na mbawa za Makamu Presidaaa Mhe Mapango!Huu mradi ndio ulioamsha mzuka wa ubinafsi na upendeleo wa kikanda. Kwa bahati mbaya sana juhudi za kufubaza miradi ya Chato imegeuka kuwa hamasa kwenye kufufua miradi iliyopigwa stop, ya Bandari ya Bagamoyo, Gesi ya Mtwara, Bomba la gesi kwenda Kenya.... Na wapishi wa shughuli hii wanafahamika, Vasco Da Gamma, Oman ikiwa kwenye mbeleko ya Bimkubwa na Macho madogo wenye lao jambo.
Kimbembe ni pale ambapo pesa iliyotolewa kama kishikauchumba iliishaliwa na kwa mwelekeo huu huenda ikawa ngumu kuirudisha kwa mwenyewe. Tanzania hii ni yetu sote, tupige hata kelele pale tunapowaona watu wajanja wajanja wakitaka kupitisha agenda zao binafsi.... Vinginevyo sioni sababu ya kuwa na JMT wakati watu wamejigawa kikanda.
Inasikitisha na kuchukiza. Hivi huwa wanafikiri kuwa hakuna mwananchi anayefahamu kila wanachopangwa au ni ubabe tu 🤔 ?.Woooote waliokuwa kwenye kamati ya kupinga huu Mradi akina Mfugale Et Al wameshatangulizwa Mavumbini ili kuficha uozo wa mkataba husika. Nadhani hata huyu Muha Kakonko anaendelea kupumua kwa aibu na mbawa za Makamu Presidaaa Mhe Mapango!
Bandari ya Bagamoyo kamwe hautakuja jengwa Watanzania tutaonyesha kila aina ya rangi kupinga huu mradi ya Kiimla na Mufilisi wa Nchi yetu.
Bunge ni mali ya CCM. Bunge halina meno. Ccm kundi hatari kwa ustawi wa taifa letuTupinge kwa sauti kubea huo mradi pasipo mkataba kuwekwa wazi. Upitishwe Bungeni kabla ya kutekelezwa kwa maridhio
Kama hii nchi ina wazalendo wa kweli, basi huu ndio wakati wa kulinda maslahi ya Taifa bila kujali maslahi ya viongozi wa juu.