Ni mwanamke gani humu JF unayemzimia zaidi?

Ni mwanamke gani humu JF unayemzimia zaidi?

Si umerudishiwa ndoa yako na Chimbuvu juzi tu hata vyeti bado hujapewa!? Halafu mbona unamdhalilisha huyu mzee! Kwani ni mwanamke?

Achana naye..ni utoto na majaribio ya banghe vinasumbua kwa kichwa...

Akikua ataelewa kuwarespect watu wazima!!

Nadhani sijachelewa kumdeclare mwaJ...!
ONYO:
Zion Daughter usithubutu kusoma comment hii!

Naona huchezi mbali na 18 mzee mwenzangu...

Safi sana...kazi na dawa!!
 
eti Erickb52 anataka kutunishiana msuli na ngosha C6 mwili huu umejengwa na sato na ugali wa muhogo, ndo ulomchengua mama kijacho, kijana chunga sana, unaweza usimalize mwaka asalaleeeee
 
Last edited by a moderator:
unaona wenzio, kazi na dawa.

Eti wewe kazi na kazi, dawa hupendi?

Unataka tufanye kazi hadi siku ya mazishi yetu?

Wenzio tulishastaafu...twajilia pensheni...

Kijiti mnacho nyie...

Kimbizanani kwanza...!!

Babu DC!!
 
Achana naye..ni utoto na majaribio ya banghe vinasumbua kwa kichwa...

Akikua ataelewa kuwarespect watu wazima!!

We Babu weweee.....
unataka nikue mara ngapi!!!
Nishayapitia yote,
Ya Bara na ya Pwani.
nayadadavua mithili ya Kukisanua.
 
Ahhhh wapi.
kutwa kucha yuko mtanangeni, anapepea juujuu.

Khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,

Hebu wewe mtoto punguza kelele.....

Unataka kulazimisha utu uzima kama Lulu??

Unakimbilia nini Madame B???

Babu DC!!
 
Una maanisha nini King'asti?

Kwamba ni double sided arrow?

Haya bwana, hii dunia yenu imevaa pensi nyanya.....

Babu DC!!
babu mie mwenyewe sina uhakika. Manake nilikuja mjini na mbio za mwenge. Ila nimeona kasema anachunuku wanamke 3, nikahisi anakata kuwili.

Anyway, umeskia huku kwetu ruvuma mabinti wanasema 'kun'nyima ntu kitu nnacho naona vibaya"
 
Alhamdullilah.....Nimpendaye mie hajatajwa wala hajaonekana kwenye mada hii.........
 
We Babu weweee.....
unataka nikue mara ngapi!!!
Nishayapitia yote,
Ya Bara na ya Pwani.
nayadadavua mithili ya Kukisanua.

Hizo pambio na taarabu kakufundisha nani??

Subiri muda wako ukifika, utayaona tu..........

Au unataka watu wakusababishie pancha...

Babu DC!!
 
babu mie mwenyewe sina uhakika. Manake nilikuja mjini na mbio za mwenge. Ila nimeona kasema anachunuku wanamke 3, nikahisi anakata kuwili.

Anyway, umeskia huku kwetu ruvuma mabinti wanasema 'kun'nyima ntu kitu nnacho naona vibaya"

Halafu wewe Komando wangu mbona una roho mbaya kiasi hicho??

Kwa nini hii useful tip hukunirushia kabla sijastaafu??

Babu DC!!
 
Khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,

Hebu wewe mtoto punguza kelele.....

Unataka kulazimisha utu uzima kama Lulu??

Unakimbilia nini Madame B???

Babu DC!!

Kelele sipunguzi Ng'oooooo.
Nami ni mtu mzima mwenye majanga yake.
Nahitaji liwazo hasa za type ya akina Kingunge......loh......
akina Diamond wasumbufu.
 
Back
Top Bottom