Yalaaaaaa! Madame B !
Si umerudishiwa ndoa yako na Chimbuvu juzi tu hata vyeti bado hujapewa!? Halafu mbona unamdhalilisha huyu mzee! Kwani ni mwanamke?
Asa director si ndo wewe!
kwa hiyo huko utaenda wewe na huyo above 70 wako.
mie under 18 hapatanihusu.
Naona huchezi mbali na 18 mzee mwenzangu...
Safi sana...kazi na dawa!!
wee, usimwambie hivyo
ujue ni 'delicatel sana? Usituumizie.
(babu hii hongo kubwa sana mie kukutetea)
unaona wenzio, kazi na dawa.
Eti wewe kazi na kazi, dawa hupendi?
kumbe na wewe mkoboaji? Haya walimia wapi mpunga?
udairekta ni permanent role yangu. Imekuwaje umejigawiamo? Futa kauli tafadhali.director mwanzisha sred, mie ni actor pia, ila over 18
Achana naye..ni utoto na majaribio ya banghe vinasumbua kwa kichwa...
Akikua ataelewa kuwarespect watu wazima!!
Ahhhh wapi.
kutwa kucha yuko mtanangeni, anapepea juujuu.
babu mie mwenyewe sina uhakika. Manake nilikuja mjini na mbio za mwenge. Ila nimeona kasema anachunuku wanamke 3, nikahisi anakata kuwili.Una maanisha nini King'asti?
Kwamba ni double sided arrow?
Haya bwana, hii dunia yenu imevaa pensi nyanya.....
Babu DC!!
We Babu weweee.....
unataka nikue mara ngapi!!!
Nishayapitia yote,
Ya Bara na ya Pwani.
nayadadavua mithili ya Kukisanua.
Unataka tufanye kazi hadi siku ya mazishi yetu?
Wenzio tulishastaafu...twajilia pensheni...
Kijiti mnacho nyie...
Kimbizanani kwanza...!!
Babu DC!!
babu mie mwenyewe sina uhakika. Manake nilikuja mjini na mbio za mwenge. Ila nimeona kasema anachunuku wanamke 3, nikahisi anakata kuwili.
Anyway, umeskia huku kwetu ruvuma mabinti wanasema 'kun'nyima ntu kitu nnacho naona vibaya"
Khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,
Hebu wewe mtoto punguza kelele.....
Unataka kulazimisha utu uzima kama Lulu??
Unakimbilia nini Madame B???
Babu DC!!