Ni mwanamke gani humu JF unayemzimia zaidi?

Ni mwanamke gani humu JF unayemzimia zaidi?

My lara1, the number one hustler!
Get rich or die trying.....................
 
Basi ngoja nibadilishe avatar
Tatizo comedians are not my type.... ungekubali kuacha na ukabaki na upaparazi ningefikiria...

avatar13443_8.gif
 
mwaJ kuna formula moja lazima uijue..katika familia mara nyingi watoto wa kike huwa wanakuwa karibu na kupendana na baba zao na watoto wa kiume huwa wanapendana zaidi na mama zao..Hiyo ni nature tu..hata dady angu Mwita Maranya analijua hili..
Wewe jitahidi kunikonvisi azawaizi ili nibadili mawazo ya tego
Zion Daughter unajua huyu baba yako Mwita Maranya atanisababishia mie shida? Nilishamkataza kunitajataja hasikiiiii! Mtu mwenyewe anajijua ana binti mkorofi tena mnoko wa kikweli lakini bado anataka kunigombanisha nae! Mie ntaweza wapi jamani? Sasa inabidi mie na wewe tupatane kila ukirudi home unampa story toka kwa aunt mwaJ ataniogopa tu.
 
Last edited by a moderator:

Kama unataka nitulie kwa muda niwaache mpumue basi ninunulie katableti..nitakaa kimya sitasema kwa mama....(hii siri yetu usimwambie dady Mwita Maranya)
 
Last edited by a moderator:
Kama unataka nitulie kwa muda niwaache mpumue basi ninunulie katableti..nitakaa kimya sitasema kwa mama....(hii siri yetu usimwambie dady Mwita Maranya)

We mtoto weweee! Usije ukauza timu kwa mom wako! Katableti sio tatizo kabisa ukizingatia ntatumia pesa hizo hizo za dady yako Mwita Maranya, lakini mnh! Ngoja nifikirie kidogo namna ya kujilinda in case unaamua kuuza timu.
 
Last edited by a moderator:
Duh! Nimesahau. Hivi tulikubalianaje?

Ijapokuwa "Anyone who has never made a mistake has never tried anything new" -, nawiwa kusema kuwa mimi kama msiri wako, tukubaliane kama tulivokubaliana kuwa haya maji unayitaka kuyavuka, ni mengi kuliko unavyoweza kudhani. sawa eeh

Msiri wangu ukiniambia kwa kufumba sielewi unajua? Mwita Maranya njoo unafafanulie hili fumbo la Kaizer maana tulivokuwa shule ulikuwa unafaulu sana somo la lugha ya Kiswahili.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom