am happy to hear this! sawa basi will let u knw, mie cheza yako tu na yule dada, kila nikikumbuka nafwaaaaa kuchekaaaa! u r so funny! lol
Huu wimbo kwenye Pricila weka
cacico
[Priscila - Juwata Jazz Band]
(wote)
kwa tabia zako bibi eh mimi sitokuacha
hasa upole wako mpenzi eh , kamwe sitakuacha,
Hata kama watu watasema sana,
Sitawajali haoo Ooooh ,
kwa vile najua uzuri si shani ,
ubora tabia x2
(wote) Kibwagizo:
kuishi wawili ni kusikilizana
hapo mapenzi ndipo yanapodumu
(Mbwembwe)
Kwa kuwa tunapendana, mengi utasikia,
Lakini usijali eeeh
Mpenzi wangu eeehh,
(wote) kibwagizo
(Zengakala)
Ukipata shida kidogo,
jaribu kuvumila Priscilla,
Kwani hayo yote Priscilla,
Ni ya muda sana maamaaa,
Elewa Priscila eeeh Kipenzi eeeh
(wote) kibwagizo
(Zengakala)
Tuzae wetu watoto waweze kutusaidia badaye
tukishakuwa wakongwe watatufaa mamaaa
elewa Pricilla eh kipenzi eh
(wote) kibwagizo
[Rudi mwanzo]