Ni mwanamke gani humu JF unayemzimia zaidi?

Ni mwanamke gani humu JF unayemzimia zaidi?

Faizafoxy tu alinifanya hadi nikasilimu..
 
Last edited by a moderator:
Hujagundua tu? Hako kajamaa hiyo Id ni ya akiba so far kuanzia juzi anajaribu kuisakrifais ilambwe moto ! Hana uchungu nayo.

hahaha ngoja aende lupango kwanza naona kajichoka...
 
Back
Top Bottom