Ni mwanamke gani humu JF unayemzimia zaidi?

Ni mwanamke gani humu JF unayemzimia zaidi?

nna mashaka na Erickb52 na Chimbuvu nyie waulizeni mama zenu, baba zenu wa ukweli ni kina nani maana naona hii kitu inawatembea kwenye damu, msipofunguliwa kwa maombi ya kuondoa mapepo ya kusingiziwa watoto mtalea watoto wengi sana ambao sio wenu

C6 Acha majungu na ftna.
Hata siku moja siwezi kumbambikia mume wangu Chimbuvu mtoto
 
Last edited by a moderator:
thread za kipumbavu za chit chat......
 
Shemeji ! Ushajisahau tena! Si nilishakukatazaga mikurupuko?
Ona sasa!
Hembu haraka watake radhi C6 na watu8 , haya fasta!
Umewakosea sana yaani .

my shem kwani sina haki ya kumzimia my hezbend... mtoa mada angeweka mwanaume na mwanamke... haki sawa kwa wote
 
Last edited by a moderator:
mi ninazo jinsia zote na iliyo active iko against na thread sijui nichangie au nimezee.:confused2:
 
my shem kwani sina haki ya kumzimia my hezbend... mtoa mada angeweka mwanaume na mwanamke... haki sawa kwa wote

In badluck ndo mtoa mada hakutoa nafasi kwenu wadada mji'express ! Mmevamia shughuli pasina mwaliko.
 
Bado sijaweza kutofautisha yupi mwanamke yupi,mwanaume unaweza kunitajia majina ya wanawake?..
 
Back
Top Bottom