Ni mwanamke yupi anaefanikiwa?

Ni mwanamke yupi anaefanikiwa?

Single kama unajua matumizi ya pesa na umelenga vyema target zako

Married kama uliyenae anajua namna ya kushirikiana nawe katika mipango mliojiwekea...maana ndoa ni chenu siyo chako.

Divorced kama ndoa yako mume na nduguze walikuwa chuma ulete tena bila msaada wa mume...ukiachika pesa yako haitosambaa utafanya kama mipango uliojiwekea.
 
Back
Top Bottom