Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Tanzania ina historia ya kuwa na wanasiasa wa kike wenye ushawishi mkubwa katika ujenzi wa taifa na kuleta mabadiliko chanya.
Wanawake hawa wamekuwa mstari wa mbele katika kukuza siasa, kuongoza mabadiliko, na kupaza sauti za wananchi katika kushughulikia changamoto mbalimbali.
Je, ni yupi kati ya wanasiasa wa kike wa Kitanzania ambaye unavutiwa na kazi yake katika kukuza siasa za nchi na kushughulikia kero za wananchi?
Wakuu karibuni, tupate kujua nani anayekuvutia na kwa nini!
Pia soma: SoC04 - Ushiriki wa wanawake katika siasa na uongozi