Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Yaani kile kitoto naanza amini kweli siyo riziki. Mgunda ni moja ya makocha ambao wana busara sana hapa nchini. Toka namfahamu sijawahi msikia akiizungumzia Yanga vibaya
Amekuwa na heshima kwa teams zote na watu wote. Kweli huyu dogo anadiriki kutamka kuwa kati ya Juma Mgunda na Andazi unachagua nini? Huu ni ukosefu wa adabu kwa kiasi kikubwa sana.
Yanga tutafute wasemaji wa team wenye akili. Siyo hawa wapuuzi. Nlimkemea Ahmed Ally alipotusema upuuzi nafanya the same kwa huyu dogo. Amekuwa kama hajawahi kabisa kuufahamu mpira ni nini. Amekiwa chawa mpaka anapitiliza.
Simba na Yanga tungetoka huko kwenye usemaji wa kipuuzi, wa kishoga, mipasho na michambo. Tuwe na watu professional wenye kuheshimu taaluma zao.
Mgunda ni kama baba yake huyu dogo wetu ambaye inasemekana ni punga. Mi nimeshasema mkitaka kunivua Uyanga njooni nipo hapa hapa mazafanta.