Mamba_Mtoni
JF-Expert Member
- Feb 18, 2023
- 420
- 766
Karia atomwacha salama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna uadui wowote wa Simba na Yanga. Huo ni uoga wako tu. Ulishawahi ona derby ya AFC Leopards na Gor Mahia? Ule ndo uadui maana hadi wanaumizana. Changamoto za kwenye utani hazikosekani. Bila Simba na Yanga tutarudi kwenye mambo ya siasa na ukabila. Kuna nchi jirani nimeona wananchi wanalalamika eti timu ya taifa ya mpira wa miguu imewekwa watu wa kabila moja!!!... Simba na Yanga ni zawadi ya Mungu kwa watanzania.Tuna hitaji mtu mmoja mwenye busara, hekima, elimu na kujielewa ambaye atakuja kufanya mageuzi makubwa kwenye hi,zi Simba na Yanga. Hizi timu zinafanywa kama ni maadui wakati mpira ni mchezo wa uungwana, isifike kutoheshimiana kwa sababu ya usimba na uyanga. Utani uwepo lakini usivuke mipaka pia. Na pia mashabiki nao wabadilike maana hawa wasemaji wanafanya huu ujinga wakiamini ndicho wanayoyapenda mashabiki kusikia. Watanzania tunapenda mipasho, umbea, na upuuzi mwingi. Kama tutaonesha kukosoa mambo ya kijinga kama haya basi itasaidia pia kuwarudisha kwenye mstari watakaopewa nafasi za usemaji wa timu.
Dismass ten alikuwa ana elimu. Bumbuli alisimamia profession akaemda tafutiwa mtu wa kuropoka ropoka.Nimemkumbuka Dismass Ten jamaa alikuwa mweledi sana lakini yanga ikadorora
.boss wangu Bumbuli pia alikuwa mweledi lakini akaletewa Nugaz ili kuchagizwa .
Watu wa hovyo huongozwa kihovyo hovyo
Alikuwa sahihi.Kuna Mjamaika alishawai kuniambia kushabikia Simba na yanga lazima kidogo brain yako iwe imeyumba.
Hakuna uadui wowote wa Simba na Yanga. Huo ni uoga wako tu. Ulishawahi ona derby ya AFC Leopards na Gor Mahia? Ule ndo uadui maana hadi wanaumizana. Changamoto za kwenye utani hazikosekani. Bila Simba na Yanga tutarudi kwenye mambo ya siasa na ukabila. Kuna nchi jirani nimeona wananchi wanalalamika eti timu ya taifa ya mpira wa miguu imewekwa watu wa kabila moja!!!... Simba na Yanga ni zawadi ya Mungu kwa watanzania.
Wewe jamaa unafurahisha sana... sasa Simba na Yanga wakutane ili nini? Wao wanatakiwa kukutana uwanjani sio kwenye mambo yenye harufu ya siasa. Maslahi mapana ya taifa yashughulikiwe na TFF, BMT na wizara kwa ujumla. Arsenal na Man huwa zinakutana ku-share mambo kwa maslahi mapana ya England? Huo unaonekana uadui ndo unanogesha ligi na kuleta ushindani mkali.Hadi hili la uadui unataka kubishana nalo? Uadui sio lazima watu wapigane. Uadui ni hali ya kutokubali, kutopenda (kuchukia) lolote lile ambalo mwenzie litamfanya asonge mbele na kutokuwa tayari kushirikiana katika jambo fulani. Sio siri hapa Yanga ilipofikia kuna watu wana tamani isingefika hapo na hata hiyo kesho wapo tayari kufunga na kuomba ili Yanga isiwe bingwa. Na hiyo hali haipo kwa mashabiki wa Simba pekee bali hata wa Yanga walitamani Simba isiingie hata hatua ya makundi. Hizi zetu mbaya zimejengeka kutokana na mifumo iliyowekwa ya kuona Simba na Yanga ni maadui.
Embu fikiria tu kitu kimoja, hizi timu mbali na kukutana katika mechi za mashindano hauwezi kukuta wenyewe kwa wenyewe wana panga kucheza mechi za kirafiki za kujiandaa labda na mashindano fulani au hata tu viongozi kukutana katika ku share mambo kwa maslahi mapana ya taifa.
Ukiwa na timu yenye uongozi mzuri na wachezaji wakaperfom vizuri uwanjani huna haja ya kuwa na Msemaji mwenye mdomo mchafu. Eti ahamasishe watu waingie uwanjani. NONSENSE!!Ninalaani hicho kitendo cha kumtukana Mgunda. Ila napinga hizi timu kuwa na wasemaji professional wanaoheshimu taaluma. Wakiwa hivyo tutapoteza ladha ya Simba na Yanga. Hizi timu hazihitaji akili sana kwenye baadhi ya mambo ili kuleta burudani. Simba na Yanga zina mchango mkubwa sana kwenye umoja wa kitaifa.
Hata mimi kanikera sana credibility yake kwangu imeshuka, yule ni kama mzazi wake isitoshe Mgunda Hanaga shida na Yanga.Yaani kile kitoto naanza amini kweli siyo riziki. Mgunda ni moja ya makocha ambao wana busara sana hapa nchini. Toka namfahamu sijawahi msikia akiizungumzia Yanga vibaya
Amekuwa na heshima kwa teams zote na watu wote. Kweli huyu dogo anadiriki kutamka kuwa kati ya Juma Mgunda na Andazi unachagua nini? Huu ni ukosefu wa adabu kwa kiasi kikubwa sana.
Yanga tutafute wasemaji wa team wenye akili. Siyo hawa wapuuzi. Nlimkemea Ahmed Ally alipotusema upuuzi nafanya the same kwa huyu dogo. Amekuwa kama hajawahi kabisa kuufahamu mpira ni nini. Amekiwa chawa mpaka anapitiliza.
Simba na Yanga tungetoka huko kwenye usemaji wa kipuuzi, wa kishoga, mipasho na michambo. Tuwe na watu professional wenye kuheshimu taaluma zao.
Mgunda ni kama baba yake huyu dogo wetu ambaye inasemekana ni punga. Mi nimeshasema mkitaka kunivua Uyanga njooni nipo hapa hapa mazafanta.
Mgunda ni coach mmoja yupo peace sana. Huwa namweshimu hana maneno ya kiswahili swahili. Dogo anakosa akili sana.Hata mimi kanikera sana credibility yake kwangu imeshuka, yule ni kama mzazi wake isitoshe Mgunda Hanaga shida na Yanga.
Anyway ujana ni maji ya moto, anaendelea kujifunza
Ha ha ha ..... GSM wanaifadhili yanga.Dogo niliwahi kuskia kua ni shoga , wenye habari kamili tupeni basi
Wnaliwa na nani huyu dogo ??
Binafsi hata kama ilifungiwa nitaona poa tu huenda akajifunza jinsi ya kuongea kwa heshima na Adabu, shida kubwa naiona kwa hawa wasemaji wanajaribu sana kuvaa viatu vya Manara wasichojua ni kubwa kila mtu ameumbwa kwa hulka na jinsi yake.Mgunda ni coach mmoja yupo peace sana. Huwa namweshimu hana maneno ya kiswahili swahili. Dogo anakosa akili sana.