Ni Mwandishi gani wa habari nchini anaweza kumhoji Tundu Lissu kwa uelewa ulio sawa?

Pascal Mayalla anaweza ...
 
mifano yako sio halisi.

Kibaraka aliwadanganya mabwenyenye kwamba anakubalika sana Tanzania, wakamuuliza kama ni hivyo kwanini ugombee umakamu mwenyekiti na sio uenyekiti Taifa?🤣

muungwana akachanganyikiwa na swali, hapo hapo akawambia naenda kugombea uenyekiti Taifa naachana na umakamu 🤣
 
Naongelea ukaribu au URAFIKI WA mabwenyenye kati ya Lissu na Serikali.

Lissu kuwa não karibu ni kosa, CCM kwenda kuomba pesa misaada ni sawa.

Wewe KENGE,BUMUNDA inaonekana somo la LOGIC lilikupita pembeni kabisa!!!

Ndo maana unajibu utumbo na kujipinga mwenyewe.

Naomba kwa ruhusa yako nikuite KENGEMAJI,KUBWA JINGA, aksante kwa UTAYARI hongera kuchagua ujinga 😅🤣😅🤣
 
Absolutely....!

Najaribu tu kufikiri, kwamba, siku ile Hezekia Wenje (bila shaka akiwa ametumwa na team Freeman Mbowe) ampeleke Abdul (mtoto wa Rais Samia) kumshawishi kupokea hongo (rushwa ya kumfunga mdomo) asiikosoe serikali na Rais wake Samia Suluhu Hassan...

Hivi huyu jamaa (TL) kama angeweka dau lake, bila shaka, CCM na serikali yote walikuwa tayari hata kuikausha hazina ili mradi wamzibe mdomo huyu mwamba...

Kiongozi wa chama cha upinzani anayeweza kukataa hongo ya mabilioni ya pesa, huyu ni mtu wa kipekee sana, ni very special person...
 
Tumlete Lary King au wale wazee wa Hard Talk. Watamyoosha haswaaaa.🤣🤣🤣. Hapo kwetu kwa kweli tu waripoti matukio lakini sio wanahabari.
 
ata mimi sio mfuatiliaji wa siasa pia sipo interested na siasa kabisa, ila nimewai kukutana na mahojiano au speech za Lissu, uwezo wake wa kufikiri na kuwasilisha hoja ni mkubwa san... hapa Tz hakuna anaemfikia hata kumkaribia bado sana sijaona
 
Tuko pamoja. Huyu mwamba nasemaga daily kuwa ningekua sir God ninge mpa uraisi wa tz lissu tena ile ile 2020
 
Bahati mbaya sana wengi wa wapiga kura ni wajinga wajinga, huwa hawana muda kuwaunga mkono watu wenye akili...
 
Bahati mbaya sana wengi wa wapiga kura ni wajinga wajinga, huwa hawana muda kuwaunga mkono watu wenye akili...
Ni kawaida sana Kwa hapa Duniani, siku zote wajinga hufurahia ujinga na Kwa wingi wao humshinda mwerevu.

Wakati Fulani Mungu tu ndo aingilie kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…