Ni Mwandishi gani wa habari nchini anaweza kumhoji Tundu Lissu kwa uelewa ulio sawa?

Bado huna logic gentleman,

Kibaraka kapewa hadi uraia na mke kabisa japo naskia nae huko sio riziki,

halafu,
kawahadaa mabwenyenye kwamba eti atawapa mlima Kilimanjaro wakimfadhili akishinda urais, wakati umakamu mwenyekiti tu kashindwa na Wenje 🀣
 
Nchi hii kwa sasa usipokiwa chawa au kunguni ! Wakati huohuo unataka kufanya biashara ,hutoboi! Inahitaji roho ngumu.
 
Tanzania anayeweza kumuhoji Tundu Lissu vizuri ni Twaha Jenerali Ulimwengu.
 
Upo sahihi mtoa mada. Tundu Lissu alijaliwa kuwa na Brain ya ukweli. Anayafahamu mambo mengi sana katika Nchi na Dunia hii.

Cha pekee ambacho mimi huwa namkubali zaidi ni kwamba, hana hata chembe moja ya UNAFIKA, WOGA na UONGO.
 
Tumlete Lary King au wale wazee wa Hard Talk. Watamyoosha haswaaaa.🀣🀣🀣. Hapo kwetu kwa kweli tu waripoti matukio lakini sio wanahabari.
Mkuu,

Unaelewa kuwa Tundu Lissu kashahojiwa Hard Talk BBC World Service?

Tanzania anayeweza kumuhoji Tundu Lissu vizuri ni Twaha Jenerali Ulimwengu.
hapo kweli mzee Jenerali twaha ulimwengu yupo vzr hata kipindi kile cha kabla ya kampen 2020 alimhoji lkn interview ilikuwa fupi sana baadhi ya mambo hakuyagusa sasa ndy wakati wake.
mzee Jenerali amfanyie interview tena
 
πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ€¬πŸ€¬ eti lisu ana karama ya uongozi... Una umwa wewe...
Lisu ni mwanaharakat ohehaye mbwatukaji kichwa lesi...
Anyways baada ya kutia nia kuutaka uenyekit taifa, CDM sasa mnamchukia lisu kiasi kwamba ana hofu na maisha yake, hadi anaingia ofisi za CDM na bullet proof...???? πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜‚ msifanyie ya zito au Cha-Wange
 
Hujui logic, Akili byako ubongo wa mende
 
sawa nyumbu mkrupukaji mwenye mihemko πŸ’
Bado kajifunze LOGIC itakusaidia kwenye ujenzi wa hoja, kuwa na fact's, reference,na mtiririko mzuri wa mawazo sahihi.

Sawa mjuu wa chura kiziwi??πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…
 
Bado kajifunze LOGIC itakusaidia kwenye ujenzi wa hoja, kuwa na fact's, reference,na mtiririko mzuri wa mawazo sahihi.

Sawa mjuu wa chura kiziwi??πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…
naona namna unavyokurupuka kwa mihemko kwa logic, sifahamu kwenye kuporomosha matusi mazito mazito itakua ni kwa mpangilio ule ule maalumu au logic πŸ’
 
naona namna unavyokurupuka kwa mihemko kwa logic, sifahamu kwenye kuporomosha matusi mazito mazito itakua ni kwa mpangilio ule ule maalumu au logic πŸ’
Kajifunze SoMo la LOGIC, litakusaidia sana kwenye Argument!!!
Utanishukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…