Ni Mwandishi gani wa habari nchini anaweza kumhoji Tundu Lissu kwa uelewa ulio sawa?

Ni Mwandishi gani wa habari nchini anaweza kumhoji Tundu Lissu kwa uelewa ulio sawa?

Naongelea ukaribu au URAFIKI WA mabwenyenye kati ya Lissu na Serikali.

Lissu kuwa não karibu ni kosa, CCM kwenda kuomba pesa misaada ni sawa.

Wewe KENGE,BUMUNDA inaonekana somo la LOGIC lilikupita pembeni kabisa!!!

Ndo maana unajibu utumbo na kujipinga mwenyewe.

Naomba kwa ruhusa yako nikuite KENGEMAJI,KUBWA JINGA, aksante kwa UTAYARI hongera kuchagua ujinga 😅🤣😅🤣
Bado huna logic gentleman,

Kibaraka kapewa hadi uraia na mke kabisa japo naskia nae huko sio riziki,

halafu,
kawahadaa mabwenyenye kwamba eti atawapa mlima Kilimanjaro wakimfadhili akishinda urais, wakati umakamu mwenyekiti tu kashindwa na Wenje 🤣
 
Da!! Kikeke kuna siku alimhoji Fatma Karume, ilikuwa ni shida kubwa. N kama Fatma Karume alikuwa anaongea na mtoto mdogo wa darasa la kwanza anamfundisha. NB: Kikeke sidhani ni mbaya sana kwenye mahojiano ila tatizo sasa hivi anakuwa kama chawa wa CCM hivyo anajikuta akiuliza maswali ya kijinga.
Nchi hii kwa sasa usipokiwa chawa au kunguni ! Wakati huohuo unataka kufanya biashara ,hutoboi! Inahitaji roho ngumu.
 
Muiteni Mlopokaji, Muiteni mwendawazimu, call him Vyovyote unavyoweza kwakua una mdomo, na una bando lako.

Ukweli ni Kua TUNDU LISSU ni Moja ya Wanadamu wanaosoma na Kisha alichokisoma akawa na Uwezo wa kukiweka kwenye matendo, ni Moja ya watanzania wenye Karama za Uongozi, ni Moja ya Watanzania wenye kuijua Haki Kwa Matendo na maneno, ni Moja ya watanzania wenye UELEWA MPANA MNOO.

Huyu TUNDU LISSU, ukimuondolea habari za Uchama, ni MTU Mmoja wa muhimu sana sana ambaye Taifa lilitakiwa Kumtumia badala ya kumtenga, inawezekana ni Kwa sababu ya ndoto zake kutongoza Nchi( Sio mbaya Kila MTU ana ndoto), ila kwa Umuhimu wake ni Hazina, ni kama walivyo Akina MPINA, GWAJIMA, wanapoongea unaona kabisa wanaongea Kwa Uelewa mkubwa.

Wenda wewe ni NCCR, CCM, CDM, TLP, CUF n.k Imani yako ya kufia Chama, HAITAKAA Kamwe kubadili ukweli Huu ya kua TUNDU LISSU alijaaliwa kua na kitu ambacho ni watu wachache sana hubarikiwa nacho, na hiko kitu ni MUNGU mwenyewe huamua kumpa Mwanadamu.

LISSU ananikumbusha LUAGA MPINA, watu wanaosoma sana, ni watu wasotosheka na maarifa, ni watu wanaopenda kua taarifa sahihi tena Kwa kuzifatilia wao wenyewe, ananikumbusha juu ya Haya, LISSU ni MTU ambaye hata aanze kutoa hotuba Asubuhi Hadi Jioni, hatuwezi kuchoka kumsikiliza...

Unaweza ukawa mbishi tu juu yake sababu Binadamu ni mbishi, ila hiyo haitakufanya usahau wakati unasoma, iwe Shule au Chuo, kulikua na MTU Mmoja huyo Kupanga, yaan yeye ni Kipanga tuu na ana Uelewa wake wa kuzaliwa na Karama zake.

Tukubali tu, Watu aina ya LISSU, sio wa kufurahia kuondoshwa, ni watu muhimu sana ikiwa watatumika.


View: https://www.youtube.com/live/_xLLBAj0HqM?si=IbMHc9sZhVf2zrgo

Tanzania anayeweza kumuhoji Tundu Lissu vizuri ni Twaha Jenerali Ulimwengu.
 
Upo sahihi mtoa mada. Tundu Lissu alijaliwa kuwa na Brain ya ukweli. Anayafahamu mambo mengi sana katika Nchi na Dunia hii.

Cha pekee ambacho mimi huwa namkubali zaidi ni kwamba, hana hata chembe moja ya UNAFIKA, WOGA na UONGO.
 
Tanzania anayeweza kumuhoji Tundu Lissu vizuri ni Twaha Jenerali Ulimwengu.
hapo kweli mzee Jenerali twaha ulimwengu yupo vzr hata kipindi kile cha kabla ya kampen 2020 alimhoji lkn interview ilikuwa fupi sana baadhi ya mambo hakuyagusa sasa ndy wakati wake.
mzee Jenerali amfanyie interview tena
 
💩💩💩🤬🤬 eti lisu ana karama ya uongozi... Una umwa wewe...
Lisu ni mwanaharakat ohehaye mbwatukaji kichwa lesi...
Anyways baada ya kutia nia kuutaka uenyekit taifa, CDM sasa mnamchukia lisu kiasi kwamba ana hofu na maisha yake, hadi anaingia ofisi za CDM na bullet proof...???? 😂😅😂 msifanyie ya zito au Cha-Wange
 
Bado huna logic gentleman,

Kibaraka kapewa hadi uraia na mke kabisa japo naskia nae huko sio riziki,

halafu,
kawahadaa mabwenyenye kwamba eti atawapa mlima Kilimanjaro wakimfadhili akishinda urais, wakati umakamu mwenyekiti tu kashindwa na Wenje 🤣
Hujui logic, Akili byako ubongo wa mende
 
sawa nyumbu mkrupukaji mwenye mihemko 🐒
Bado kajifunze LOGIC itakusaidia kwenye ujenzi wa hoja, kuwa na fact's, reference,na mtiririko mzuri wa mawazo sahihi.

Sawa mjuu wa chura kiziwi??😅🤣😅🤣😅
 
Bado kajifunze LOGIC itakusaidia kwenye ujenzi wa hoja, kuwa na fact's, reference,na mtiririko mzuri wa mawazo sahihi.

Sawa mjuu wa chura kiziwi??😅🤣😅🤣😅
naona namna unavyokurupuka kwa mihemko kwa logic, sifahamu kwenye kuporomosha matusi mazito mazito itakua ni kwa mpangilio ule ule maalumu au logic 🐒
 
naona namna unavyokurupuka kwa mihemko kwa logic, sifahamu kwenye kuporomosha matusi mazito mazito itakua ni kwa mpangilio ule ule maalumu au logic 🐒
Kajifunze SoMo la LOGIC, litakusaidia sana kwenye Argument!!!
Utanishukuru.
 
Back
Top Bottom