Ni mwanzo tu, Diamond Platnumz aagiza tena Lamborghini na Bentley, magari ya mabilion

Ni mwanzo tu, Diamond Platnumz aagiza tena Lamborghini na Bentley, magari ya mabilion

Uyu kijana ukiwa na wivu nae unaweza jifia pressure tu.
IMG_20210715_211909.jpg
 
U free mason unalipa ila atatoweka at his early 40
Kina Jayz hadi leo wapo tu, kufa mapema ni mipango mibovu ya maisha yako au Mungu aamue, huwezi kuwa unatomb.a tomb.a ovyo, ulevi mavi , lishe mbovu mambo ya ajabu ajabu, lazima ufe mapemaaa tu, kina freemason andy chandy wamepiga miaka karibia miaka 100.. huyo shetani mwenyewe hadi leo yupo hai na ndio baba wa uovu..
 
Huyu kitamuua kutombaromba
 
View attachment 1855126
View attachment 1855127

Baada ya kununua Rolls Royce Cullinan2021 Moja kati ya Gari za Ndoto yake ya muda wote Star wa muziki Barani Afrika Diamond Platnumz ametangaza kuwa anasubiri kupokea gari zingine mbili DiamondPlatnumz kupitia ukurasa wake wa instagram ametangaza kuwa gari zinazofuata alizozinunua ni lamborghini pamoja na bentleymotors na hivyo kwa sasa anasubiri kuzipokea nchini

View attachment 1855113
Naona watu wengi wako busy kujadili magari ya diamond. Hiviyakiwa fake au original au ya gharama kubwa, yanamsaidiaje Bibi yangu aliyeko kule longolambogo Bariadi? Huu muda tungeutumia kujadili tozo mpya za simu nadhani ingesaidia zaidi.
 
Nimeipenda sio wanaiger tu ndio watutambie kongole kwake kutokana back ground Hakuna kinachoshindikana
Kuna Wabongo wanachukia Mbongo mwenzao kuwa level za juu, wao furaha yao watambe Wapopo tu ili wapatie pa kuwacheka Wabongo wenzao wanaopambana kwamba si lolote si chochote.
Most ya haters ukiwafuatilia ni wachawi kwenye familia zao, mchawi kuwa na chuki na maendeleo ya mtu ni kitu cha kawaida na mchawi huwa hawi na sababu ila ukimbana atatafuta visababu vyovyote vya kusingizia.
 
Kama anapata pesa kwa halali, mwache azitumie atakavyo. Naamini hashindani na mtu, ila anashindana mwenyewe.
 
View attachment 1855126
View attachment 1855127

Baada ya kununua Rolls Royce Cullinan2021 Moja kati ya Gari za Ndoto yake ya muda wote Star wa muziki Barani Afrika Diamond Platnumz ametangaza kuwa anasubiri kupokea gari zingine mbili DiamondPlatnumz kupitia ukurasa wake wa instagram ametangaza kuwa gari zinazofuata alizozinunua ni lamborghini pamoja na bentleymotors na hivyo kwa sasa anasubiri kuzipokea nchini

View attachment 1855113
Hua najiuliza,sasa mtu kama wewe unakua ni Diamond mwenyewe au vipi? Maana mtu unaacha kazi zako na kufikiri maisha yako kweli unakuja mtandaoni unatumia internet kuelezea maisha ya mtu mwingine bila faida yoyote ,inasaidia nini maishani?

Dah! Wabongo
 
Back
Top Bottom