Ni mwanzo tu, Diamond Platnumz aagiza tena Lamborghini na Bentley, magari ya mabilion

Kuna Lamborghini SUV hata Bentley ziko SUV
 
Heheheh
 
Nishamsikia shoga mmoja huko akidai ataruka kote ila sio kwenye Bugatti hapo yeye hata kumiliki baiskeli ya Avon kumemshinda
 
Uzuri diamond anaonesha ni mpenzi wa gari za juu juu😅 kwahio hapo atanunua Lamborghini Urus ama Bentley Bentyaga zote hizi ni SUV
 
Pia anataka kuleta yatch kama Ile ya Ibrahimovic
Suala ya Yatch nasikia mtoa breaking news wa Sadala I mean The blue Chawa 'Fundi manyumba' amelithibitisha, let's wait and see kwani seeing is believing.
Ndoto si lazima zitimie papo kwa papo, kama kweli amedhamiria na uchumi utamruhusu lolote linawezekana.
 
Sawa. Ila nadhani viwanda vingemsaidia yeye binafsi, serikali na Watanzania wengi wangenufaika kuanzia kwenye kupat ajira na hata kwenye kufaidi bidhaa za viwanda hivyo
Naskia kiwanda cha kutengeneza saa kipo kwenye Ramani Za mwanzoni
 
Nasikia pia anataka Ashushe Boeing ya biashara...yenye uwezo wa Siti 600
 
Saa kwa ajili ya exportation? Biashara ya saa ngumu sana siku hizi, simu zimeitia mikosi.
Kila la kheri kwake
Imagine Saa ya Mondi yenye Logo yake...alafu bei 45k(Sio ndogo zisionekane Loko,Na sio kubwa zisinunulike)

Vijana masharobaro wakibongo watazivamia sana...itakuwa kama kaujanja akipiga pamba anavalia Na saa ya 45k
 
U free mason unalipa ila atatoweka at his early 40
Kila kitu,free mason,acha uchawi,watu wanafanya Kazi.
Waswahili mna mambo,Bakheresa aiitwi free mason,ila mtoto wa Tandale ametutoa kimasomaso East Afrika nzima,mijitu mnaanza kumuwangia mchana kweupee,kama free mason unalipa,unasubili nini,nenda kajiunge,
 
Kama kunengua kunalipa nengua na wewe ununue hata boda boda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…