Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nakula vumbi tu hapa BongoKyaibumba, watu ni wachokozi.... Kukaa bata mwaya Kwa raha zakoo achana nao.
Tunafanana bukta when it comes to kula bata baada ya kazi, cheers sema hapo mie nibgemalizia na kwenda kucheza mziki hadi hiyo baridi ikiniona inanipisha njia aahahahahhaaa
Baba Batalingaya RRONDO wewe unakula bata kuku au mbuzi???...
Kuna jamaa ndani ya treni anakuangalia kwa jicho baya,kuwa makini anaonekana mbaguzi(angalia dirishani la treni)
Baridi yote hio avae bukta?! Akibanwa na ngiri utamsaidia?Usiwasikilize ndugu, watakwambia mbona suruali uliyovaa ya jeshini ili waamini unakula bata weka ukiwa umevaa bukta....
Have fun to your limit, cheers.
Mimi nakula vumbi tu hapa Bongo
Ha ha ha kile kibao kimerekebishwa 3 weeks ago,imagine tangu wakati ule. Nilikuwa na mpango huo Xmas hii ila wale wajinga walioua waafrika wenzao wamenifanya niichukie hio nchi na kuahirisha kuja huko. @#£@@*€ zao!Njoo SA uonje vumbi la huku walau wiki moja tuu....
Kila nikipita kwenye kile kibao cha alama za barabarani kimedondoka upside down (ulikipiga picha ukakiweka hapa JF) nakukumbuka... Maeneo karibu na ubalozi wa Zambia na British council kama sikosei...
Vumbi la bongo tamu asikwambie mtu, linabamba kila mahali watoto kila leo wanazaliwa na hips, wowowo, rangi adimu, mitulinga na vibamia humohumo, basi buridani bin tafrani aahahahahahhaaaa
Matata the K.
Baridi yote hio avae bukta?! Akibanwa na ngiri utamsaidia?
Bata Ulaya linaliwa summer....beer sana kwenye river side bars and restaurants,bbq everyday,watoto full kujiachia.....winter kama hii ni kujifucha tu hata kwenda kupiga box kwa mbindeHivi Baba Batalingaya weeweee, tukionana nakurukia mgongoni nakukaba kabalof aahahaahahahahhaaa
Kwani mie nimesema akavae bukta au nimemwambia asiwasikilize nyie na kutafuta picha nyingine aweke hapa kwa kadri mnavyokuwa hamuamini kuwa anakula bata kweli... aahahahahahaaaaa natafuta matusi ya Ndossi yote yamenipotea....ningekutupia moja hata la Nanayakara au Gabone au Wilfred....
Ila dawa ya ngiri ni BJ mayai yanatoka nje yotee kitu inapata joto asilia swaaaff maumivu yote kwishney.....
Kijana nani kakwambia ulaya Kuna Bata? Ulaya ni kwa ajili ya kufanya kazi then ukipata pesa Bata linapatikana maeneo haya Latin America kule Copa Cabana.. Malibu... Hawaii... Ibiza e.t.c
Ha ha ha kile kibao kimerekebishwa 3 weeks ago,imagine tangu wakati ule. Nilikuwa na mpango huo Xmas hii ila wale wajinga walioua waafrika wenzao wamenifanya niichukie hio nchi na kuahirisha kuja huko. @#£@@*€ zao!