Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Bata Ulaya linaliwa summer....beer sana kwenye river side bars and restaurants,bbq everyday,watoto full kujiachia.....winter kama hii ni kujifucha tu hata kwenda kupiga box kwa mbinde
Uko sawa kabisa double R, siku moja nikawa najisemea, hivi kwanini bongo mdada mwenye mifupa tuu hana hata nyamanyama akivaa bukta au mini skirt haswa chini ya matako ni issue kwa wakaka na hapo yuko on social places sio hospital kanisani au banks au ofisi za serikali.
Ila huko duniani unakuta mdada au mama amevaa bukta yake na blouse safii na ana mapaja na tako mnyakyusa haoni ndani. Mwanzoni huku SA namimi nilikuwa nawashangaa baadae nikazoea maana morphology zao ni balaa mngoni kasingiziwa halafu rangi za mvutoo...
Nikija bongo navaa kaptura yangu nikitoka naishia maeneo ya masaki tuu tena eneo moja na kuondoka, hata mlimani sikanyagi. Najikuta tuu najistukia Ila huko duniani, wakati wa joto napunga hewa sana utasema nami ni mmoja wao kuuumbee, mmatumbi aahahahahaaa.
Matata the K.