Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 442
- 1,655
Stori yako iko nusu hujasema ni kosa gani kubwa mlilotendeana sasa inakuwa ngumu kutoa ushauri bila kujua uzito wa hilo kisa mlilotendeanaNdoa Ndoano
Ni mke wangu wa ndoa na tuna watoto copy yangu kabisa
Kutokana na migogoro ya hapa na pale tulitengana ila tulikua tunawasiliana kujua hali za watoto
Mara zote mimi ndo nilikua napiga simu kujua hali zao
Sasa kuna tukio alifanya ambalo lilinikata mood kabisa ya kuendelea kumpigia pigia simu hivyo nikaacha na nilitegemea atapiga kuomba msamaha kwa tukio alilonifanyia na tuweze kujadili ili kuweka mambo sawa
Ila ni mwezi wa 2 sasa unaisha hakuna mawasiliano nami nimeamua nimpotezee mazima hadi pale atakapokuja kudai talaka.
Mke ni mwajiriwa mkoa jirani na ninapoishi so yupo huko anakofanyia kazi
Je nimtafute au nikomae tu na harakati zangu za maisha??
Ushauri mulua kabisaPole mkuu,
Kamwe usiishi Kwa kushindana na mwanamke.
Wewe endelea na mambo yako, jua kwamba Yule ni mama Yao hawezi kuwatupa wala kuwapa Sumu.
Akikumiss au akiwa na shida atakutafuta.
Naona huu Uzi umejaa upwiru, umeçhapiwa ukaenda kuangalia watoto ukaona mnafanana sasa unakuja kutuuliza ambao hatuwajui wewe na huyo mkeo.Ndoa Ndoano
Ni mke wangu wa ndoa na tuna watoto copy yangu kabisa
Kutokana na migogoro ya hapa na pale tulitengana ila tulikua tunawasiliana kujua hali za watoto
Mara zote mimi ndo nilikua napiga simu kujua hali zao
Sasa kuna tukio alifanya ambalo lilinikata mood kabisa ya kuendelea kumpigia pigia simu hivyo nikaacha na nilitegemea atapiga kuomba msamaha kwa tukio alilonifanyia na tuweze kujadili ili kuweka mambo sawa
Ila ni mwezi wa 2 sasa unaisha hakuna mawasiliano nami nimeamua nimpotezee mazima hadi pale atakapokuja kudai talaka.
Mke ni mwajiriwa mkoa jirani na ninapoishi so yupo huko anakofanyia kazi
Je nimtafute au nikomae tu na harakati zangu za maisha??
Halafu akirudi anajuta jamaa ampokee?Achana nae maana kwake Huna nafasi na analijua hilo.
Kuna mtu ameshachukua nafasi yako na mwanamke hawezi kupenda sehemu mbili.
Mpe muda kuna siku atarudi anajuta.
Mkome kuoaNdoa Ndoano