Good-bye
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 1,085
- 1,812
HakunaKujuta ni lazima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakunaKujuta ni lazima.
sas tutakushauri vip na hilo tukio lililokukata mood hujalisemaNdoa Ndoano
Ni mke wangu wa ndoa na tuna watoto copy yangu kabisa
Kutokana na migogoro ya hapa na pale tulitengana ila tulikua tunawasiliana kujua hali za watoto
Mara zote mimi ndo nilikua napiga simu kujua hali zao
Sasa kuna tukio alifanya ambalo lilinikata mood kabisa ya kuendelea kumpigia pigia simu hivyo nikaacha na nilitegemea atapiga kuomba msamaha kwa tukio alilonifanyia na tuweze kujadili ili kuweka mambo sawa
Ila ni mwezi wa 2 sasa unaisha hakuna mawasiliano nami nimeamua nimpotezee mazima hadi pale atakapokuja kudai talaka.
Mke ni mwajiriwa mkoa jirani na ninapoishi so yupo huko anakofanyia kazi
Je nimtafute au nikomae tu na harakati zangu za maisha??
Hujasema hilo kosa alilolifanya sasaNdoa Ndoano

Tatizo bado unampenda na unajitia kukaza sasa ona naye kakaza na watu wanamkaza ndo maana kakukazia hataki usumbufu wako!🙁🙁🙁🙁Ndoa Ndoano
Ni mke wangu wa ndoa na tuna watoto copy yangu kabisa
Kutokana na migogoro ya hapa na pale tulitengana ila tulikua tunawasiliana kujua hali za watoto
Mara zote mimi ndo nilikua napiga simu kujua hali zao
Sasa kuna tukio alifanya ambalo lilinikata mood kabisa ya kuendelea kumpigia pigia simu hivyo nikaacha na nilitegemea atapiga kuomba msamaha kwa tukio alilonifanyia na tuweze kujadili ili kuweka mambo sawa
Ila ni mwezi wa 2 sasa unaisha hakuna mawasiliano nami nimeamua nimpotezee mazima hadi pale atakapokuja kudai talaka.
Mke ni mwajiriwa mkoa jirani na ninapoishi so yupo huko anakofanyia kazi
Je nimtafute au nikomae tu na harakati zangu za maisha??
Kah! kwa mwanaume hilo ni gumu sana, kosa akosee mwanamke halafu mwanaume aombe msamaha??Jaribu kuomba msamaha wewe, uone itakuwaje 🤷♀️
Mkuu kama utakutana nae na wewe vuta mdomo kama sururuNdoa Ndoano
Ni mke wangu wa ndoa na tuna watoto copy yangu kabisa
Kutokana na migogoro ya hapa na pale tulitengana ila tulikua tunawasiliana kujua hali za watoto
Mara zote mimi ndo nilikua napiga simu kujua hali zao
Sasa kuna tukio alifanya ambalo lilinikata mood kabisa ya kuendelea kumpigia pigia simu hivyo nikaacha na nilitegemea atapiga kuomba msamaha kwa tukio alilonifanyia na tuweze kujadili ili kuweka mambo sawa
Ila ni mwezi wa 2 sasa unaisha hakuna mawasiliano nami nimeamua nimpotezee mazima hadi pale atakapokuja kudai talaka.
Mke ni mwajiriwa mkoa jirani na ninapoishi so yupo huko anakofanyia kazi
Je nimtafute au nikomae tu na harakati zangu za maisha??
sawa achana nae wewe focus kuhusu watoto tu akili zake zikiNimetengana nae since 2023
Mmoja wa kwanza yupo shule wawili wapo na mama yao
sawa we achana nae focus maisha yako na hudumia watoto kama kawaida yeye akili zake zikikaa sawa atakutafuta mwenyeweNimetengana nae since 2023
Mmoja wa kwanza yupo shule wawili wapo na mama yao
wamekuwa wasumbufu sana yaaniWanawake wa kileo?
Kuna jamaa aliomba msamaha ndio alichochea moto mke kichwa kikawa kikubwa. Mimi nadhani mwanaume mahusiano yakileta shida Angalia na wekeza nguvu zako kwenye Mambo mengine muhimu zaidi la sivyo uta Angamia. Pia epuka mahusiano holela kwa usalama wa fedha, afya na bahati njema. Kuna wanawake wamebeba mapepo ya gundu na kifo yaani wamebeba roho chafu sana na hawa ni wengi sana. Wanapatikana kwenye ma bar, mighawani, makanisani ukijichanganya hovyo na ma ofisini.Jaribu kuomba msamaha wewe, uone itakuwaje 🤷♀️
Nyuma ya hicho kiburi kuna mwanaume mwenzako. Wewe piga kimya endelea na hamsini zako akiwa na shida atakutafuta, wanawake wako wengi sana chukua mwanamke mwingine .Ndoa Ndoano
Ni mke wangu wa ndoa na tuna watoto copy yangu kabisa
Kutokana na migogoro ya hapa na pale tulitengana ila tulikua tunawasiliana kujua hali za watoto
Mara zote mimi ndo nilikua napiga simu kujua hali zao
Sasa kuna tukio alifanya ambalo lilinikata mood kabisa ya kuendelea kumpigia pigia simu hivyo nikaacha na nilitegemea atapiga kuomba msamaha kwa tukio alilonifanyia na tuweze kujadili ili kuweka mambo sawa
Ila ni mwezi wa 2 sasa unaisha hakuna mawasiliano nami nimeamua nimpotezee mazima hadi pale atakapokuja kudai talaka.
Mke ni mwajiriwa mkoa jirani na ninapoishi so yupo huko anakofanyia kazi
Je nimtafute au nikomae tu na harakati zangu za maisha??
Kwaresma inaenda good!!Thanks!!!
Vip kwaresma inakwendaje engineer??
Upo njemaaa mnoo. Tunasubiri iishe turudi kwenye Uzi wetu pendwq wakimasikhara
Mtafute pia komaa na harakati zako za maishaJe nimtafute au nikomae tu na harakati zangu za maisha??