Ni mwezi wa pili sasa tumenuniana mi na mke wangu

Achana nae mkuu, huna mke hapo, tena mtumishi ? Fanya yako kama watoto wapo tu. Mwanmke mwenye uhitaji wa mme hawezi maliza siku tatu kanuna hata kama kakosewa, mme ni mme tu. Ukijushusha eti blah blah tayari ushajiingiza kingi.

Tafuta mke mwingine,
 
sas tutakushauri vip na hilo tukio lililokukata mood hujalisema
 
Hujasema hilo kosa alilolifanya sasa
 
Tatizo bado unampenda na unajitia kukaza sasa ona naye kakaza na watu wanamkaza ndo maana kakukazia hataki usumbufu wako!🙁🙁🙁🙁
 
Mkuu kama utakutana nae na wewe vuta mdomo kama sururu
 
Jaribu kuomba msamaha wewe, uone itakuwaje 🤷‍♀️
Kuna jamaa aliomba msamaha ndio alichochea moto mke kichwa kikawa kikubwa. Mimi nadhani mwanaume mahusiano yakileta shida Angalia na wekeza nguvu zako kwenye Mambo mengine muhimu zaidi la sivyo uta Angamia. Pia epuka mahusiano holela kwa usalama wa fedha, afya na bahati njema. Kuna wanawake wamebeba mapepo ya gundu na kifo yaani wamebeba roho chafu sana na hawa ni wengi sana. Wanapatikana kwenye ma bar, mighawani, makanisani ukijichanganya hovyo na ma ofisini.
 
Nyuma ya hicho kiburi kuna mwanaume mwenzako. Wewe piga kimya endelea na hamsini zako akiwa na shida atakutafuta, wanawake wako wengi sana chukua mwanamke mwingine .
 
Fuata akili Yako maana ukutegemea mawazo ya watu ambao na wenyew pia Wana migogoro isiyoisha mpaka leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…