Ni mwezi wa tatu sasa mke wangu hashiki mimba

kaffir

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
595
Reaction score
387
Ni miezi mitatu sasa tangu tuoane na mke wangu na tumekuwa tukifanya ngono mara kwa mara ili tuanzishe familia lakini mke wangu hajashika ujauzito hadi sasa.

Je, nini inaweza kuwa sababu?
 
Ana miaka 19 ...born 2000...and I have 28 yrs
 
Fanyeni vipimo wote, ila miezi 3 ni michache sana kuanza kupata wasiwasi. Pia unaweza kuta bibie hayupo tayari kubeba mimba saiv, unamshinikiza sana, akaamua kufanya uzazi wa mpango kisiri,( speculation tu).
Ila kuwa mvumilivu mapema sana kuwa na wasiwasi aisee.
 
Asia sana kwa ushauri
 

Vipimo wapi vinafanyika ..Niko mlandizi
 
Ana miaka 19 ...born 2000...and I have 28 yrs
Basi fanyeni kila siku hasa zile siku za ovulation mhakikishe hamkosi kufanya. Mimba itashika tu. Halafu msiiwaze sana. Mrelax itashika tu. Ikifika mwaka haijashika basi mkaone Dr. Ili mpimwe wote wawili ili waone tatizo ni nini? Ila kwa sasa mrelax mjivinjali itanasa tu.
 
I urgently need it!!! Ila wife aliwahi niambia anahtaji mimba akiwa na age ya 22 so nawazaga Labda anafanya manoeuvres ya kumanipulate hii kitu!!!....ni zipi dalili za mwanamke atumiaye family planning kwa siri!!!???
 
mimi huwa najiuliza hivi ndoa ina nn sijui

kabla ya ndoa yani ukijichanganya tuuu ukisex na mpenz wako kwenye fertire days baaaasi mimba hiyo hapo

shughuli ukishaingia ndoani baaasi mimba unaanza kuitafuta kwa manati
 
Tunafanya kila siku ..Labda Menes days tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…