Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una watoto wangapi...Ana umri gani? Miezi mitatu michache. Mwaka mmoja isiposhika ndo tunaanza kuquestion fertility.
Asia sana kwa ushauriFanyeni vipimo wote, ila miezi 3 ni michache sana kuanza kupata wasiwasi. Pia unaweza kuta bibie hayupo tayari kubeba mimba saiv, unamshinikiza sana, akaamua kufanya uzazi wa mpango kisiri,( speculation tu).
Ila kuwa mvumilivu mapema sana kuwa na wasiwasi aisee.
Fanyeni vipimo wote, ila miezi 3 ni michache sana kuanza kupata wasiwasi. Pia unaweza kuta bibie hayupo tayari kubeba mimba saiv, unamshinikiza sana, akaamua kufanya uzazi wa mpango kisiri,( speculation tu).
Ila kuwa mvumilivu mapema sana kuwa na wasiwasi aisee.
Basi fanyeni kila siku hasa zile siku za ovulation mhakikishe hamkosi kufanya. Mimba itashika tu. Halafu msiiwaze sana. Mrelax itashika tu. Ikifika mwaka haijashika basi mkaone Dr. Ili mpimwe wote wawili ili waone tatizo ni nini? Ila kwa sasa mrelax mjivinjali itanasa tu.Ana miaka 19 ...born 2000...and I have 28 yrs
Ninao wanane. Kiume 7 wa kike mmoja. Msukuma mie. Halafu bado nazaa. Wewe unao wangapi?Una watoto wangapi...
[emoji818][emoji818][emoji818]Ninao wanane. Kiume 7 wa kike mmoja. Msukuma mie. Halafu bado nazaa. Wewe unao wangapi?
I urgently need it!!! Ila wife aliwahi niambia anahtaji mimba akiwa na age ya 22 so nawazaga Labda anafanya manoeuvres ya kumanipulate hii kitu!!!....ni zipi dalili za mwanamke atumiaye family planning kwa siri!!!???Basi fanyeni kila siku hasa zile siku za ovulation mhakikishe hamkosi kufanya. Mimba itashika tu. Halafu msiiwaze sana. Mrelax itashika tu. Ikifika mwaka haijashika basi mkaone Dr. Ili mpimwe wote wawili ili waone tatizo ni nini? Ila kwa sasa mrelax mjivinjali itanasa tu.
Basi fanyeni kila siku hasa zile siku za ovulation mhakikishe hamkosi kufanya. Mimba itashika tu. Halafu msiiwaze sana. Mrelax itashika tu. Ikifika mwaka haijashika basi mkaone Dr. Ili mpimwe wote wawili ili waone tatizo ni nini? Ila kwa sasa mrelax mjivinjali itanasa tu.