Ni miezi mitatu sasa tangu tuoane na mke wangu na tumekuwa tukifanya ngono mara kwa mara ili tuanzishe familia lakini mke wangu hajashika ujauzito hadi sasa.
Je, nini inaweza kuwa sababu?
Kwanini unashauri asichome sindano, kijiti wala kitanzi na ikiwa atatumia hataweza kuzaa kabisa?Inategemea. Vidonge wengine wananenepa,wengine vinawakataa wanapata bleed kwa mwezi mara mbili. Dalili zinatofautiana. Ila pia mwambie kama anatumia njia ya kuzuia uzazi kamwe asichome sindano,kuweka kijiti ama kuweka kitanzi. Maana anaweza asizae kabisa ikifika kipindi anahitaji mtoto. Hizi zinashauriwa watumie waliozaa tayari atleast watoto 3.Ila vidonge ni sawa hakuna madhara hata kama haujazaa.
Ila miaka 19 bado mdogo. Mwache mwenzio afurahie ndoa mkiwa wawili. Kama alivyosema atazaa akifika 22.
Muda mnao. Menopause ni mpaka 46 huko.
Siyo kwamba hataweza not 100 perce,hakuna risk zero. Hizo njia wanawake wachache zimewafanya kuwa wagumba Asije akawa mmoja wao.Ndo maana tunapenda kushauri watumie waliokwisha kuzaa tayari. You never know.Kwanini unashauri asichome sindano, kijiti wala kitanzi na ikiwa atatumia hataweza kuzaa kabisa?
Ni kawaida hasa kama katoka kutumia vizuia mimba!! Mwaka na ushee watu wanasaka mimba haipatikani na wapo kimya!!
Unamaanisha vizuia mimba ni 7bu 1wapo ya kuchelewesha mimba kutunga?
Siyo kwamba hataweza not 100 perce,hakuna risk zero. Hizo njia wanawake wachache zimewafanya kuwa wagumba Asije akawa mmoja wao.Ndo maana tunapenda kushauri watumie waliokwisha kuzaa tayari. You never know.
Yes! Kama aliweka kijitia au kitanzi au alikuwa anatumia vidonge the akaacha kwa ajili ya mimba hawezi kupata kipindi hichohicho!! Atachukua muda mpaka homoni za vizuia mimba ziishe mwilini ndipo kizazi kitaruhusu kudaka mimba!!
Yani sorry inaonekana wewe ndio tatizo la kwanza yani una mpa stress mwenzio mimba inaingia when there is peace of mind.Akija lazima nimhoji ....asipoeleza ukweli tutaenda hospital
Ni miezi mitatu sasa tangu tuoane na mke wangu na tumekuwa tukifanya ngono mara kwa mara ili tuanzishe familia lakini mke wangu hajashika ujauzito hadi sasa.
Je, nini inaweza kuwa sababu?
Kwani neno wameoana wewe hujaliona au umeamua usipite bila kucomment[emoji23][emoji23][emoji23]Ni kwa sababu mnafanya Ngono, badala ya kufanya tendo la Ndoa lililobarikiwa na Bwana
Ni miezi mitatu sasa tangu tuoane na mke wangu na tumekuwa tukifanya ngono mara kwa mara ili tuanzishe familia lakini mke wangu hajashika ujauzito hadi sasa.
Je, nini inaweza kuwa sababu?
Nakushukuru sana!!! Unajua Mimi in binadamu tu na kukosea kimawazo kupo . ndo maana NAOMBA USHAURI KWA WADAU MUHIMU KAMA NYIEYani sorry inaonekana wewe ndio tatizo la kwanza yani una mpa stress mwenzio mimba inaingia when there is peace of mind.
Kwanza sex kila siku mwili wake na wako unaregenerate saa ngapi? Pengine hata ku time ovulation days hamjui wewe umejikita kila usiku kwichinkwichi kisa mtoto??
Mimba miezi 3 mwenzio anataka kuenjy mahaba imagine she is 19 wewe unasema u need a baby urgently??? Hii tayari inampa stress.
Pia yaonekana mkali kila unaloambia huku ooh anatumia vidonge nk unataka kuhamako umuhoji nakuambia utapoteza mke na mtoto usipate. Imagine mmeona juzi tu uanze kumpeleka hospital kwa uchunguzi dah kwelo wanawake wameumbwa kunyanyaswa . Miezi 3 unanihoji??? Je miaka 3 utaweza vumilia kweli??
Maisha ya ndoa hayana purukushani wala stress utamweka binti wa watu matatani kila akiingia period afadhaike hebu acheni kuliwazia hili jikite kwenye kupeana raha kupanga hadi Mungu aweke mkono wake.
I urgently need it!!! Ila wife aliwahi niambia anahtaji mimba akiwa na age ya 22 so nawazaga Labda anafanya manoeuvres ya kumanipulate hii kitu!!!....ni zipi dalili za mwanamke atumiaye family planning kwa siri!!!???
Kwani neno wameoana wewe hujaliona au umeamua usipite bila kucomment[emoji23][emoji23][emoji23]