Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,503
- 6,415
Ni miezi mitatu sasa tangu tuoane na mke wangu na tumekuwa tukifanya ngono mara kwa mara ili tuanzishe familia lakini mke wangu hajashika ujauzito hadi sasa.
Je, nini inaweza kuwa sababu?
Ni kawaida hasa kama katoka kutumia vizuia mimba!! Mwaka na ushee watu wanasaka mimba haipatikani na wapo kimya!!