Glenohumeral joint
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 2,054
- 2,902
Cster angu flani alikaa miaka 10 hakuna mtoto[emoji22][emoji22][emoji22]Endeleeni mpk mwaka uishi.....hyo n kawaida tu
Ni miezi mitatu sasa tangu tuoane na mke wangu na tumekuwa tukifanya ngono mara kwa mara ili tuanzishe familia lakini mke wangu hajashika ujauzito hadi sasa.
Je, nini inaweza kuwa sababu?
U deserves some accolades.Miezi mitatu mbona mapema kuwa patient , stress nazo zinaweza kuchangia. Fanyeni Kwa leisure mimba iwe matokeo.
I urgently need it!!! Ila wife aliwahi niambia anahtaji mimba akiwa na age ya 22 so nawazaga Labda anafanya manoeuvres ya kumanipulate hii kitu!!!....ni zipi dalili za mwanamke atumiaye family planning kwa siri!!!???
Mkuu labda unamwaga nje kama pornstar sasa hapo atapataje mimba?Ni miezi mitatu sasa tangu tuoane na mke wangu na tumekuwa tukifanya ngono mara kwa mara ili tuanzishe familia lakini mke wangu hajashika ujauzito hadi sasa.
Je, nini inaweza kuwa sababu?
Muende hospitali mkachukue vipimo (Testosteron level) huenda umepungukiwa uwezo wa kuzalisha, Anza na wewe mwenyewe kwanza, then ukiwa fit unamcheck na mwenzio
Sorry for her.....huwa tunasema infertility yaan kukosa uwezo wa kuzaa huweza onekana n tatzo baada ya mwaka mmoja wa fully coitus.....tena muwe mnakulana hasa, acha hzo za kuishi mikoa tofauti...half tatzo huwa either kwa mwanaume au mwanamke...n 50-50 ....so usimtuhumu mkeo,tatzo huenda n ww but kula had one year then consult a doctorCster angu flani alikaa miaka 10 hakuna mtoto[emoji22][emoji22][emoji22]
Mweeee hivi mzaliwa wa 2000 keshafaa kuolewa!!! miaka inakimbia[emoji15]Ana miaka 19 ...born 2000...and I have 28 yrs
Ahsante sanaMimi nina miezi 8 tangu nimefunga ndoa na mke wangu ila mpaka muda huu bado hajabeba mimba nilimpeleka pale sanitas hispital kwa ajili ya check up ya kizazi akaonekana ana hormone imbalance, amepewa dawa anaendelea kuzitumia hivyo nakushauri jaribu kufatilia swala la kumpima afya yake ila pia kua mvumilivu kwenye ndoa yako
Hahaha hata Mimi nlikuwa na presha kama wewe tulikaa miezi 7 bila bila ila mwezi wa 8 akashika na sasa tuna mtoto mkubwa ondoa hofu kabisaNi miezi mitatu sasa tangu tuoane na mke wangu na tumekuwa tukifanya ngono mara kwa mara ili tuanzishe familia lakini mke wangu hajashika ujauzito hadi sasa.
Je, nini inaweza kuwa sababu?