Ni mwezi wa tatu sasa mke wangu hashiki mimba

Ni mwezi wa tatu sasa mke wangu hashiki mimba

Ni miezi mitatu sasa tangu tuoane na mke wangu na tumekuwa tukifanya ngono mara kwa mara ili tuanzishe familia lakini mke wangu hajashika ujauzito hadi sasa.

Je, nini inaweza kuwa sababu?

Mshike mkono wewe na yeye nendeni mkapime, wewe au yeye anaweza kuwa tatizo.....

But miezi 3 ni michache bado, hakikisha unalala naye toka siku 10 baada ya blid mpaka siku ya 20 kwa ufasaha na mara nyingi iwezekanavyo...... ukifanya hivyo miezi 3 ikakataa...... kwa upendo kabisa mtie moyo shemeji yetu kwa kwenda naye kupima....
 
I urgently need it!!! Ila wife aliwahi niambia anahtaji mimba akiwa na age ya 22 so nawazaga Labda anafanya manoeuvres ya kumanipulate hii kitu!!!....ni zipi dalili za mwanamke atumiaye family planning kwa siri!!!???

Ana miaka mingapi? Na wewe una miaka mingapi? Kama ana miaka chini ya 22 na hakuwahi kutoa mimba, wewe waweza kuwa na tatizo, may be sperm counts etc.....

Mengi yanatibika....
 
Ni miezi mitatu sasa tangu tuoane na mke wangu na tumekuwa tukifanya ngono mara kwa mara ili tuanzishe familia lakini mke wangu hajashika ujauzito hadi sasa.

Je, nini inaweza kuwa sababu?
Mkuu labda unamwaga nje kama pornstar sasa hapo atapataje mimba?
 
Muende hospitali mkachukue vipimo (Testosteron level) huenda umepungukiwa uwezo wa kuzalisha, Anza na wewe mwenyewe kwanza, then ukiwa fit unamcheck na mwenzio

Good point, tena anaweza kwenda kimya kimya
 
Kwanza mzunguko wake unaujua?? maana wengi hukariri siku 28 kumbe mtu ana mzunguko wa siku 30 au 25.
 
Cster angu flani alikaa miaka 10 hakuna mtoto[emoji22][emoji22][emoji22]
Sorry for her.....huwa tunasema infertility yaan kukosa uwezo wa kuzaa huweza onekana n tatzo baada ya mwaka mmoja wa fully coitus.....tena muwe mnakulana hasa, acha hzo za kuishi mikoa tofauti...half tatzo huwa either kwa mwanaume au mwanamke...n 50-50 ....so usimtuhumu mkeo,tatzo huenda n ww but kula had one year then consult a doctor
 
Mimi nina miezi 8 tangu nimefunga ndoa na mke wangu ila mpaka muda huu bado hajabeba mimba nilimpeleka pale sanitas hispital kwa ajili ya check up ya kizazi akaonekana ana hormone imbalance, amepewa dawa anaendelea kuzitumia hivyo nakushauri jaribu kufatilia swala la kumpima afya yake ila pia kua mvumilivu kwenye ndoa yako
 
Ahsante sana
 
Ni miezi mitatu sasa tangu tuoane na mke wangu na tumekuwa tukifanya ngono mara kwa mara ili tuanzishe familia lakini mke wangu hajashika ujauzito hadi sasa.

Je, nini inaweza kuwa sababu?
Hahaha hata Mimi nlikuwa na presha kama wewe tulikaa miezi 7 bila bila ila mwezi wa 8 akashika na sasa tuna mtoto mkubwa ondoa hofu kabisa
 
Back
Top Bottom