Ni mwezi wa tatu sasa mke wangu hashiki mimba

Ni miezi mitatu sasa tangu tuoane na mke wangu na tumekuwa tukifanya ngono mara kwa mara ili tuanzishe familia lakini mke wangu hajashika ujauzito hadi sasa.

Je, nini inaweza kuwa sababu?
Miezi mitatu tu.....!

MIM TUNA MIAKA SITA, since 8/2013
 
Ni miezi mitatu sasa tangu tuoane na mke wangu na tumekuwa tukifanya ngono mara kwa mara ili tuanzishe familia lakini mke wangu hajashika ujauzito hadi sasa.

Je, nini inaweza kuwa sababu?
Samahani
Una umri gani?

Isije kuwa ni wanafunzi wa primary bure
 
Miezi 3 mbona bado mapema sana...hata ivyo yaonekana una haraka sana..jukumu la kuongeza kiumbe ni maridhiano na kama mkeo hayuko tayari huenda akawa anatumia njia za uzazi wa mpango.

Lakini mnaweza zungumza pia na akakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…