Admin1988
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 1,603
- 1,848
Miezi mitatu tu.....!Ni miezi mitatu sasa tangu tuoane na mke wangu na tumekuwa tukifanya ngono mara kwa mara ili tuanzishe familia lakini mke wangu hajashika ujauzito hadi sasa.
Je, nini inaweza kuwa sababu?
MIM TUNA MIAKA SITA, since 8/2013